dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Watoto nao bwana !!. Kwanini walazimishe kuwa na simu wakati wakijua shule zote zimekataza kuwa na simu shuleni ?!. Na hili zaidi ni kwa shule za serikali . Huwezi kuona upuuzi ktk shule za masista
Kwanini wasiwekewe socket za kutosha ili wasihangaike na hizo local connections!?Nenda kasome sheria za shule uone adhabu ya kutumia simu
Nadhani hujasoma boarding ndio maana, Laiti ungeona sehemu wanazochajia (local connections) usingesema,
In case ikija kutokea bweni limeungua na wanafunzi wamekufa ww ndio utakuwa was kwanza kuwalauni walimu walikuwa wazembe hawafuatilii
NB
Ualimu ni kama ukocha tu katika mafanikio watasifiwa wengine kikiharibika kitu lawama kwao
Kweli mkuu, sasa watu wamekazana tu simu marufuku, yan ujinga ujinga tu!Hizi sheria ziangaliwe upya!
Wanafunzi wanaweza kumiliki simu na gadgets kwa ajili ya masomo katika nyakati hizi za teknolojia.
Swala sio tu kuzisimamia sheria kama roboti.....Utashi unahitajika pia.
Utambuzi wa nyakati na mazingira husika!
Hili ni Taifa la watu "waliosomea ujinga". Wengi wao hawana utambuzi wa maswala hata ya ufahamu wa kawaida tu.Hivi sababu za msingi za kuzuia simu ni zipi??
Afrika kuna kuendelea tutasubiri sana!
Binafsi sioni ubaya wa simu hasa kwa mwanafunzi wa A level ambaye ameshajitambua.Kweli mkuu, sasa watu wamekazana tu simu marufuku, yan ujinga ujinga tu!
Walimu hawana makosa,wamefuata sheria za shule,Kama kufuata sheria ni makosa,basi hata askari wanaowakamata wavunja sheria wanafanya makosa,na mahakama zinazowahukumu zina makosa pia. Mimi nawapongeza walimu hao.Wamekosea lakini walimu wamekosea sana
Bahati mbaya asilimia kubwa ya wanafunzi wetu hawatumii simu kwa ajili ya kujisomea.Hizi sheria ziangaliwe upya!
Wanafunzi wanaweza kumiliki simu na gadgets kwa ajili ya masomo katika nyakati hizi za teknolojia.
Swala sio tu kuzisimamia sheria kama roboti.....Utashi unahitajika pia.
Utambuzi wa nyakati na mazingira husika!
Hizi ni sheria za shule,walimu wamefuata sheria zilizowekwa na serikali au shule husika kwa shule binafsi, wanafunzi wanamakosa, hii tabia ya kuwatetea wanafunzi wanaovunja sheria ni mbaya, haina afya kwa wanafunzi. Nawapongeza walimu haoBinafsi sioni ubaya wa simu hasa kwa mwanafunzi wa A level ambaye ameshajimbua.
Au hata hao wanafunzi wa ngazi za chini, madhali tu kuwe na utaratibu maalumu.
Simu sio kifaa cha anasa kama inavyotafsiriwa.
Kuna shida mahali.
Unaambiwa hutakiwi kuwa na simu shuleni, na adhabu yake ni kufukuzwa tatizo ni nini...wamekutwa na simu na wakafukuzwa baasi. Wanafunzi wana makosa halafu ukiwasikiliza ni wajeuri sanaKuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Wamekosea lakini walimu wamekosea sana
Jambo hili inaonekana limekukera sana Mkuu,usiharibu siku yako. Hata hivyo kuna Jambo la msingi umeligusia kwamba sheria zinaweza kubadilishwa,pambania hilo. Kwa kuwa zikibadilishwa walimu watazifuata hizo sheria mpya.Shida sio kufuata tu sheria, maana hizo sheria ni tatizo pia.
Hata Hilter alipoua mamilioni ya waisrael aliwaua kwa kufuata sheria.
Lazima uelewe muktadha. Usiwe kama roboti lililowekwa betri.
Katiba ya nchi inabadilishwa, seuze hivyo vijisheria koko vya shule vilivoandikwa kwa penseli?
THEY ARE VERY SUBSIDIARY. DON'T BE STUPID.
Sio ninyi mnaolia lia kila siku kwamba elimu imeshuka? Kuna ubaya gani wanafunzi wakitumia simu na gadgets kwa ajili ya kujifunza?
Hivi mapenzi ni kitu kibaya kiasi hicho?Bahati mbaya asilimia kubwa ya wanafunzi wetu hawatumii simu kwa ajili ya kujisomea.
Wengi wao ni mapenzi na kuwasiliana na wazazi kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app