KAYAFA MKUU
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 242
- 297
Duh! Kuwatetea wanafunzi wanaovunja sheria za shule kwako ndivyo vitu vikubwa?Wewe endelea kupongeza maana ufahamu wako umeishia kwenye kupiga makofi.
Mimi nazungumza vitu vikubwa hapa! Kwahiyo endelea kupiga makofi!
Ni kitu kizuri lakini muda mwingi unapotea huko kuliko kwenye masomo.Hivi mapenzi ni kitu kibaya kiasi hicho?
Sawa nikosa! Waonyeni ili wamalizie, kuwafukuza hamuoni ndo mnawaua kabisa?
Kumbukeni hao ni watoto, nashauli shule zingebuni mbinu mbadala hata kuweka didector machine siku wanapo report shuleni.
Nyie waalimu huwa hamjiulizi kwamba kama simu inaingia gerezani sehemu yenye mabunduki na ulinzi mkubwa sembuse na shuleni?
Inamaana na askari magereza wawe wanafukuzwa pale wafungwa wanapokutwa na simu?
Kumbukeni hao niwatoto
Hizo zitakuwa nihasira za kunyimwa michango ya michele🤣🤣🤣☝
Wanazimalizia kwa watoto.
Kwamba simu zikiruhusiwa mashuleni italeta maendeleo zaidi barani Africa au unamanaisha nini?Hivi sababu za msingi za kuzuia simu ni zipi??
Afrika kuja kuendelea tutasubiri sana!
Kuna mazazi mengine sijui yana akili gani! Ubawalaumu walimu kwa kosa gani? Ukute hili lim-mama lina mtoto amefukuzwa! Tena hao watoto wasirudishwe shule kabisa!mlikaa na matoto yenu majumbani miezi mitatu mkaona kama mwaka mkaadha kupiga kelele bora warudi shule haya wamerudi shule wazazi walimu wanasimamia kile kilichokuwa kinawashinda majumbani mnaanza kelele
Ndugu yangu sheria ni msumeno. Hukata huku na huku. Kama ndugu yakonkakutwa na simu ajipange vituo vya ku reset vipoooHapo walimu hawana makosa. Wamechukua hatua kama sheria za shule zinavyowaelekeza
Kama wewe sio mwalimu huwezi kumfundisha mwalimu jinsi ya kufanya kazi yake, kama wewe sio daktari, hauwezi kumfundisha daktari jinsi ya kukutibu. Ualimu ni professional kama zilivyo zingine. Itachukua juda sana kukuelewesha kwa vile inaonekana una hasira na walimu. Kwanza nikusahihishe tu. Sio kweli kwamba walimu wana mishahara midogo. Hilo ulijue kuanzia leo. Shida ya walimu ni matumizi, wanatumia fedha zao bila mpangilio. Na shida ingine ni kukopa mikopo ya riba kubwa kubwa. Na hili ndo linawafanya kuonekana hawana hela. Ila kwa walimu wa degree wakiajiriwa wanaanzia lake 7 na diploma laki 5.5 huu sio mshahara mdogo sababu ushavuka kima cha chini.Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Hapa hatuwazungumzii tu "hao watoto" waliofukuzwa (japo sina uhakika kama ni watoto).hao watoto wasirudishwe shule kabisa!
Pole Sana ila iyo Habari haijakamilika Bora ungetuletea yote bila ukamilifu wa Habari utawalaumu Sana walimu,,Sijui mishahara yao na kukamatwa simu kwa wanafunzi kunauhusiano gani?Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Huwezi kuvunja sheria kwa kuwa tu hukubaliani nayo !.Hivi sababu za msingi za kuzuia simu ni zipi??
Afrika kuja kuendelea tutasubiri sana!
Ni upumbavu kushabikia wanafunzi kuwa na simu shuleni! Kama shule yako imeandika sheria hizo kwa penseli in upumbavu wa shule yako. Sheria hizo zinatoka wizarani wala siyo sheria za kujitungia walimu, hivyo watoto hao wafukuzwe moja kwa moja!Hapa hatuwazungumzii tu "hao watoto" waliofukuzwa (japo sina uhakika kama ni watoto).
Tunazungumza katika muktadha mpana wa matumizi ya gadgets mashuleni.
Humu wanapita watu wengi wanasoma na wanaelewa. Watachukua linalowezekana.
Hivyo vijisheria koko vilivyoandikwa kwa penseli ni subsidiary mno tena mno! Vinaweza kufutwa kwa wino mweupe just within a matter of seconds!
Kwahiyo usishupaze sana shingo!
adhabu ya kufa mtu ila haukufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah umenikumbusha tulivyodakwa na simu wiki tatu before mtihani, tulikula fimbo na adhabu ya kufa mtu ila hatukufukuzwa
Kwa kweli,maana inaonekana amewakasirikia walimu badala ya kuwakasirikia wanafunzi waliovunja sheria.Jamaa kaumia sana. Unaweza kuta Ni mwanaye kakutwa na simu.
Simple anzisha shule yako watoto waje na simuKuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Nilikufa mkuuadhabu ya kufa mtu ila haukufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]