Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

Sheria hizo zinatoka wizarani wala siyo sheria za kujitungia walimu
Sheria zikitoka wizarani ndio zinakuwa msahafu ama?

They remain to be subsidiary and CAN BE REPEALED ANYTIME IF NEED BE!
 
Sheria zikitoka wizarani ndio zinakuwa msahafu ama?

They remain to be subsidiary and can CAN BE REPEALED ANYTIME IF NEED BE!
Sasa simu na uwezo wa kitaaluma vina uhusiano gani kama sio wivuπŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Ndio maana vizazi vimeharibika kwaajili ya watu kama hawa, form six ni mtoto?? Dah ina maana wanafunzi wote wavunje sheria kipindi wanakaribia kufanya mitihani yao?
 
Hii Tanzania mwalimu hukosea kila kitu, imefika wakati watoto wanaonekana Wana akili kuliko walimu,, poor Tanzania
Walimu wamekosea nini ?!. Wakiwaacha wanaofuata wataenea simu hizo. Kikubwa mzazi wakati mwanao anaenda shule za msingi na secondary , habari ya simu aachane nazo.

Walimu wasilaumiwe, wamesimamia sheria . Tena utakuta mzazi hajui
 
Umeandika utoto na ujinga, na unapoandika kitu usichokijua n8 ujinga zaidi. Hakuna Mwalimu mwenye Uwezo wa kumfukuza mtu shule kwa kujibu wa Sheria. Mwanafunzi anafukuzwa na bodi ya shule baada ya vielelezo vya kujitosheleza kutoka kamati ya nidhamu inayoongozwa na Mwalimu wa Nidhamu kama M/kiti katibu akiwa Makamu mkuu wa Shule.

Bodi ya shule sio walimu.
Na wasiporidhika na vielelezo vya tuhuma wanaweza kuwaondolea wanafunzi adhabu.

Sasa kuongelea jambo usilolijua ni "Ujinga"

Pili umehusisha mshahara wa Mwalimu na tukio, kwanza nahsi wewe bado ni mtoto wa rika la barehe hata hujaajiriwa, katika rank za mishahara ya wafanyakazi serikali
1. Haina tofauti kubwa kwa madaraja sawa C, D, E F nk nk
2. Walimu ni kada yenye mshahara uliojuu ya kada nyingine katika daraja husika, tofauti ni marupurupu.

Mwisho
Hao wanafunzi wana nafasi ya kukata Rufaa.
Lakini bila shaka wamehukumiwa kwa Sheria
And mind you mpaka wanafukuzwa sio kosa la kwanza kwakuwa shuleni kuna kitu kinaitwa faili ya mwanafunzi, humo zinaingia kumbukumbu zako zote tangu ulipojiunga na shule, kuanzia matokeo, muenendo wako, nidhamu n.k
 
Nyakati za mwisho simu muhimu, maana unaweza kukutana na possible muda wowote.,wakati niko shule(A-level) nimekamatwa sana na simu(Galaxy pocket) walimu walikuwa wananirudishia wenyewe 2011/2012 .
 
Wewe endelea kupongeza maana ufahamu wako umeishia kwenye kupiga makofi.

Mimi nazungumza vitu vikubwa hapa!

Wewe endelea kupiga makofi!


Kitu kikubwa ulichozungumza ni kipi?

Watoto wa siku hizi unawajua?
 
Pumbafu kabisa we mwanafunzi mwenye simu hadi kupelekea kufukuzwa.
Mzembe sana wewe!!Shwani
Unakamatwaje kwanza!!
 
Wana roho za kutu
 
Tabia ya kuzoea kuvunja vunja sheria halafu hamtaki kupewa adhabu na mkishughulikiwa mnalialia ndio inawafanya mumchukie mhe Magufuri.
 
Kwa nijuavyo mimi sheria ni sheria

Kikongwe wa miaka 80/90 anahukumiwaje kunyongwa hadi kufa wakati amebakiza muda mfupi afariki
 
Mwandishi wa makala usiwalaumu waalimu,Sheria ya wizara ya elimu na serikali unasema mwanafunzi akikutwa na simu,anatakiwa afukuzwe hakuna majadiliano.
Kosa Lao Sheria wanaijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…