Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
😂😂😂😂 mkuu we na konyagi mna uhusiano gañi????Nilikufa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 mkuu we na konyagi mna uhusiano gañi????Nilikufa mkuu
Sheria zikitoka wizarani ndio zinakuwa msahafu ama?Sheria hizo zinatoka wizarani wala siyo sheria za kujitungia walimu
Sasa simu na uwezo wa kitaaluma vina uhusiano gani kama sio wivu😇😇😇😇Sheria zikitoka wizarani ndio zinakuwa msahafu ama?
They remain to be subsidiary and can CAN BE REPEALED ANYTIME IF NEED BE!
Wewe una shida ya ziada tofauti na hizo gadgets!! Probably msongo wa mawazo!hivyo watoto hao wafukuzwe moja kwa moja!
Walimu wamekosea nini ?!. Wakiwaacha wanaofuata wataenea simu hizo. Kikubwa mzazi wakati mwanao anaenda shule za msingi na secondary , habari ya simu aachane nazo.
Walimu wasilaumiwe, wamesimamia sheria . Tena utakuta mzazi hajui
Umeandika utoto na ujinga, na unapoandika kitu usichokijua n8 ujinga zaidi. Hakuna Mwalimu mwenye Uwezo wa kumfukuza mtu shule kwa kujibu wa Sheria. Mwanafunzi anafukuzwa na bodi ya shule baada ya vielelezo vya kujitosheleza kutoka kamati ya nidhamu inayoongozwa na Mwalimu wa Nidhamu kama M/kiti katibu akiwa Makamu mkuu wa Shule.Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Ni mtu na mpenzi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu we na konyagi mna uhusiano gañi????
😅😅😅😅Ni mtu na mpenzi wake
Wewe endelea kupongeza maana ufahamu wako umeishia kwenye kupiga makofi.
Mimi nazungumza vitu vikubwa hapa!
Wewe endelea kupiga makofi!
Wana roho za kutuKuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Tabia ya kuzoea kuvunja vunja sheria halafu hamtaki kupewa adhabu na mkishughulikiwa mnalialia ndio inawafanya mumchukie mhe Magufuri.Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
Ovyoooowalimu watz km policcm tu
Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mtu na mpenzi wake
Kalale dogo [emoji16][emoji16]