Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

Nenda kasome sheria za shule uone adhabu ya kutumia simu

Nadhani hujasoma boarding ndio maana, Laiti ungeona sehemu wanazochajia (local connections) usingesema,

In case ikija kutokea bweni limeungua na wanafunzi wamekufa ww ndio utakuwa was kwanza kuwalauni walimu walikuwa wazembe hawafuatilii

NB
Ualimu ni kama ukocha tu katika mafanikio watasifiwa wengine kikiharibika kitu lawama kwao
👏👏👏👏
 
kutumia simu enzi hizi si kitu kibaya lakini hazijaruhusiwa bado,unapolazimisha kutumia kitu bila ruhusa huo Ni utovu wa nidhamu,..so hatua iliyochukuliwa Ni sahihi kabisa
 
Umeambiwa usifanye fujo wewe ukafanya, Utapigwa Tu!

Umeambiwa usije na simu shuleni, wewe ukaja nayo!! Uta................
 
Back
Top Bottom