Hivi waliosema "i you want to sell your freedom get married" waliwaza nini ?

Hivi waliosema "i you want to sell your freedom get married" waliwaza nini ?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
IF YOU WANT TO SELL YOUR FREEDOM GET MARRIED
Je ni kweli kuna uhuru unapungua ukioa au kuolewa ?

Ni uhuru upi huo ?

Kuna wengine husema "no matter how boring life gets, never get married"

Kuna nini ndani ya ndoa ?

Kuna haja ya somo la umuhimu wa ndoa na familia kufundishwa vyuoni .
 
We eleezea unaliona je, ulisha oa au umeolewa, una umri gani ya ndoa? Ndo nichangie kwasbb majibu yanajulikana tu.
 
Simple sana ukiishi mwenyewe ni tofauti sana na ukiishi hata na paka, ukiacha kisamaki chako juu kila muda unacheki kama kipo.
FB_IMG_17231423072000062.jpg
 
Back
Top Bottom