Hivi waliotaka kumnyamazisha Lissu Kwa kumuhonga, waliata wapi ujasiri huo?

Hivi waliotaka kumnyamazisha Lissu Kwa kumuhonga, waliata wapi ujasiri huo?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!!

Najiuliza, hivi Inawezekana vipi kumtuliza kirahisi Simba au faru aliyejeruhiwa Kwa risasi Kwa vipande vya Fedha?

Ama Kweli ,RUSHWA hupofusha ufahamu.

Karibuni 🙏
 
Akuna chakuongwa hapa ni Uzushi tu wa BWANA lissu baada ya kuona wenje ametangaza kugombea umakamu
 
Back
Top Bottom