David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Si ulitaka kumjua kakupa jibu la kumjua hadi utakapomkuta na muda anaokuwa eneo.hiloKuna dada nlimuuliza unaitwa nani? Akasema Mimi ni mtumishi flani , kanisani kwetu Kuna ibada tunakukaribisha sana siku ya jumapili.
Nikasema hii, kwani huyu haelewi swali au?
Marko 20:23-47Hao sio walokole! Ukiona mtu anajifanya na kujiita mlokole alafu huna amani kukaa naye huyo sio mlokole! Hata hivyo kibiblia walokole ni wachache!
Mt 7:14
Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Hakuna Marko 20 wee mpagani. Marko inaishia 16Marko 20:23-47
Kuokoka duniani haiwezekani
Marko 10:23-40Hakuna Marko 20 wee mpagani. Marko inaishia 16
Hata wao wanaona yakwako ni ya kihuni tu , kwa hiyo ni mwendo wa kila mmoja kuvutia kwake.Hiyo dini ni ya wahuni mimi sipendi hasa yale makelele yao wakianza kuabudu. Nyimbo sauti kubwa hakuna cha maana wanachoimba
Jibu liko marko 10:27Marko 10:23-40
Usiwachukie.. Neno linasema mpe kilevi mwenye shida anywe alewe asahau shida zakeKatika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure.
Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu wa misri.