inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yesu kakataa binadam kuokoka duniani,kwa ulimi wakeJibu liko marko 10:27
Matayo 10:22
Matayo 24:13
Marko 13:13
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu kakataa binadam kuokoka duniani,kwa ulimi wakeJibu liko marko 10:27
Matayo 10:22
Matayo 24:13
Marko 13:13
Mr PXLKama ni mwanamke bc anakupenda, kama ni mwanaume bc kuna shimo mwilini mwake haliko sawa
Mrs AppleMr PXL
Israel sio walokole! Ni taifa Mungu aliingia agano nao kupitia mababu zao Ibrahim, isaaka, na yakobo(israel). Kupitia hao Yesu kazaliwa. Yesu alikuwa myahudi (Jews) wakamkataa na kumuua na bado wanamsubiri kuwa atarudi. Na kweli aliwahahidi atarudi baada ya kupata kibondo kikali na kukataliwa na jumuia ya kimataifa ndo Yesu waliyemsulibisha atatokea kuwaokoaWalokole halisi wapo gaza wanarusha makombora ,
Walokole ni Kama waislamu tu ujinga ni mwingi mno na mihemko kibaoKatika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure.
Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu wa misri.
Uislamu hauna uhuni. Uislamu ni unyenyekevu, tunamnyenyekea Mwenyezi Mungu wakati wa kuabudu na katika ibada zetu. Sisi ni tofauti na walokole ni nani aliyewafundisha kuwa nyimbo ni ibada yaani makanisa yao hayana tofauti na baa au kumbi za stareheHata wao wanaona yakwako ni ya kihuni tu , kwa hiyo ni mwendo wa kila mmoja kuvutia kwake.
Mkuu nyie si mna dini yenu na wao wana yao tatzo ni lipi apo.Uislamu hauna uhuni. Uislamu ni unyenyekevu, tunamnyenyekea Mwenyezi Mungu wakati wa kuabudu na katika ibada zetu. Sisi ni tofauti na walokole ni nani aliyewafundisha kuwa nyimbo ni ibada yaani makanisa yao hayana tofauti na baa au kumbi za starehe
Ukiona umeambiwa hivyo na ukakasirika basi kuna ukweli kwa ulichoambiwa..ndiyo maana umekizingatia na kuja kulalamika humu..Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure.
Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu wa misri.
Walokole ni mazombi kama na wewe ni mlokole hauna tofauti na zombiUkiona umeambiwa hivyo na ukakasirika basi kuna ukweli kwa ulichoambiwa..ndiyo maana umekizingatia na kuja kulalamika humu..
Ile mpaka umekuja humu na Kulalamika ina maana kuna mahali kwenye moyo wako neno uliloambiwa limepenya na kukugusa...
Isingekuwa hivyo ungepuuzia na kuendelea na mambo Mengine..
Nichukue nafasi hii kuungana na huyo mlokole kukuambia, " Hiyo furaha unayofurahia Bila kuokoka ni Bure...."
Umenikumbusha mtaani kulikua na dada mmoja mlokole ana ka genge. Kila ukikatiza anakuita anaanza kukupa neno, kukukanya, mambo kibao. Kimbebe ni pale kitumbo chake kilipoanza kuumuka na hajaolewa! Mbona alihama ule mtaa 😀Na hakuna watu wanafiki km hao wanaojiita "WALOKOLE"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MUNGU aliamuaa kumuumbua aache unafkii ,yaan n wanafki na niwachoyo haswaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mtaani kulikua na dada mmoja mlokole ana ka genge. Kila ukikatiza anakuita anaanza kukupa neno, kukukanya, mambo kibao. Kimbebe ni pale kitumbo chake kilipoanza kuumuka na hajaolewa! Mbona alihama ule mtaa [emoji3]
Sasa hapo ndiyo anapofeli, badala ya kujiombea mwenyewe apate hela akanunue viatuKuna kanisa kila siku ukisika vipaza sauti ni kuiombea israeli(sio kipindi hiki cha vita, ni miaka yoteee)
Akitoka nje huyu anayeiombea israeli ukiangalia hicho kiatuu, daaaa
Anyway Ngoja nisikufuru.