Hivi wamasai wanavyopandisha mori huwa ni mashetani, hisia au akili kutoweka ?

Hivi wamasai wanavyopandisha mori huwa ni mashetani, hisia au akili kutoweka ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736








 
Ni kuigiza tu mbona ukiwakata mbata wakiwa kwenye hali hiyo wanatulia kama sio wao 😊😊
 
Kuna vitoto vya kimasai vinaitwa layani, vile vidogo ambavyo havijatahiriwa niliviambia toeni ng'ombe eneo la shule si la kuchungia, vitoto vikaanza kupandisha mori, nikavitoa nduki kwa mawe na fimbo vikakimbia na kuacha ng'ombe.
 
Hao kuna madawa ya ujasiri hulishwa wakati wa balehe.
So hupandisha hasira kwanza ndo huo mori una wavaa.

Masai akikupandishia mori usimlazie damu we zibua mabanzi ya maana anakata wenge na kutoka nduki.
 
Chapa ngumi huyo morani aisee anatulia tuli na akili zinarudi vizuri
 
Back
Top Bottom