Hivi Wana intelligence unit wa Tanzania mnajua Dunia imebadilika sana?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare.

Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit.

Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie kama Wana intelligence mlipaswa kuisoma na kujuwa vile mta deal na watu pale wanaleta shida badala yake mnafanya mambo Yana umiza taifa na hata taasisi ya Rais kwa mambo ya chama.

Nawaza nakuwazuwa hivi wazo lakumkamata Lisu mlilipata wapi na mlilenga nini?

A. Mlilenga mkisha muweka ndani mumpe Mashitaka ya kupindua serikali alafu achafuke wakati Dunia ikiungana mtetea na kuichafuwa serikali jambo naona tayari hii imeshindikana

Plan B. Akiwa ndani chama wagawane fito na kuni mpaka akitoka akute chama kimegawanyika mkitumia inside wenu kukiharubu chama hili nalo naona kama halina nguvu sana sana moles wanajulikana ambao na wao wanawajuwa hivyo mnazidi kukiimarisha chama chao kwa kupunguza moles ndani ya chama jambo litawasumbua zaid huko mbeleni huna mtu wakukupa inside za mwenzako je una juwaje ya sirini wakati huwo na wao wanapeleka mapandikiz kwa ccm.

Haya mnahangaika na upinzani jambo mnawapaisha mpaka vijijini.

Kwanini msi deal nao in a smart way hakuna kelele Wala kugombana.

Haya Leo nasikia tetesi mmerudisha akina Martha Karuwa uwanja wa ndege hivi nani ameturoga unamrudisha raia wa nchi nyingine kwa kutaka hudhuria kesi ya Lisu yaani mnauwa diplomatic na urafiki wa Tz na Ke kwa mambo ambayo tungefanyia kaz kwa akili kubwa maisha yangekuwa rahisi sana.

Angalieni wazungu wanavyo Fanya mambo kwa akili kubwa sana. Hivi USA Hana uwezo maliza vita Ukraine jibu anao uwezo ila mpaka Leo hajapeleka vikos kwa sababu anazo njia nyingi kusimamia hii vita pasipo haribu watu wake ama kupoteza fedha kwa vita ilio anzishwa na wajinga wachache.
Ana angalia Putin ni Mzee na anamuda mchache wakuishi na hawezi himili mziki wa hii vita
Pili uchumi wake uta collapse ni swala la muda
Tatu ana Vijana wachache kutoka special force ku train. Na kusaidi kupigania Ukraine.
Nne hii vita kwake ni fursa kwa nini ahangaike kupigania mambo atayapata ni makubwa zaid kuliko yeye ingia kwa vita.

Mnauwa mbu kwa rungu kiukweli huu niupotevu wa rasilimali
 
Ndio wanaitwa Bluetooth sikuhizi hao Intelligence Unit wa Tanzania?
 
Ni upumbavu taasisi za usalama kutumika kuumiza raia wema Kwa maslahi ya chama tawala na si maslahi mapana ya Taifa.

Mambo haya hugeuka na kuishia kuingiza nchi kwenye machafuko mabaya sana.

Taasisi za usalama zinapaswa kuwa neutral entity kulinda wananchi na nchi, na sio kulinda tu bali kusaidia kwenye ustawi wa maisha ya watu na Taifa kiujumla.

Kuwalinda elites kwasababu nanyie huwapa mali muishi vizuri na familia zetu mtambue bongo zenu zinadumaa na matokeo yake mnabweteka na kujisahau, madhara yakujisahau ni nchi kuingia shimoni na kubaki kuwa nyumbani kwa magenge ya kimafia na mateka wa nchi jirani za watu wenye akili +mataifa makubwa yaliyojikita kwenye unyonyaji.

Madhara ya Kila ujinga wetu yatarudi Kwa vizazi vyetu Leo na siku za usoni, madhara ya ujinga wetu hayawezi kwenda China, Rwanda, USA, Kenya nk yatabaki hapahapa kwa watu wetu.
Watu wetu watakuwa masikini, Taifa letu litabaki masikini milele, Duniani watu wetu watadharaulika na kunyanyapaliwa.
 
ukija Tanzania kilofa utarudishwa kwenu kilofa bila wasiwasi wowote
 
Polisi walimkamata wakampeleka mahai. Huko ndio itajulikana mbivu na mbichi. Sasa kelele humu za nini?
 
Nilikuwa Beijing china juz, pale Beijing huo mkoa umeanza rasmi watoto wote lazima wafundishwe somo la AI. Kutoka primary kabisa. Ukija huku kwenye sisi nyumbu hatujui hata tunafanya nini. Tutatawaliwq mpaka Yesu arud. Nyambafu.
 
Nilikuwa Beijing china juz, pale Beijing huo mkoa umeanza rasmi watoto wote lazima wafundishwe somo la AI. Kutoka primary kabisa. Ukija huku kwenye sisi nyumbu hatujui hata tunafanya nini. Tutatawaliwq mpaka Yesu arud. Nyambafu.
😂😂😂😂 Imebidi nicheke, wewe wakutuita sisi nyumbu 😂
 
Watajulia wapi wakati inawapasa kufuata maelekezo ya Mzee Masatu?
 
Upo sahihi. Ila mfano wako kwa vita ya ukraine haufai hapa. Putin kitu anawafanya west ni Mungu tu ndio anajua.
 
Nilikuwa Beijing china juz, pale Beijing huo mkoa umeanza rasmi watoto wote lazima wafundishwe somo la AI. Kutoka primary kabisa. Ukija huku kwenye sisi nyumbu hatujui hata tunafanya nini. Tutatawaliwq mpaka Yesu arud. Nyambafu.
Sasa unatushauri tufanyeje
 
Hivi fedha ya hii bajet tunayopitisha tunayo au twategemea wahisani
 
TISS washughulike na wale vijana wawili wa nchi jirani weusi kama mkaa wanaopost TikTok kila siku kumtukana Mazeri matusi ya nguoni , kwakweli wale vijana wanamdhalilisha sana Bimkubwa wamevuka mpaka wao wa uhuru wa kuongea maana si kwa matusi yale ya nguoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…