Hivi Wana intelligence unit wa Tanzania mnajua Dunia imebadilika sana?

Naungana na wewe 💯
 
Stratocracy is a real problem in Africa.

Tanzania is aspiring to become a democracy, where people get to decide their future, not some corrupt privileged security apparatchiks with a communist mindset.
​
It has, instead, become a demon-cracy.
 
Miongoni mwa hotuba za IB TR alisema haoni faida za kuwepo kwa umoja wa africa; kama naanza kumwelewa
 
System imekosa safe process ya ku deal na mlengwa baada ya mlengwa kukaidi maagizo!!

Na kwasababu hatuna means za kisheria na organ ku deal na mlengwa itabidi uhuni ufanyike ili kupata justification ya ku deal na mlengwa!!namna ya ku deal name ndio harsh coz mlengwa analindwa sana na katiba,kwahiyo inabidi mambo yaharibike zaidi ndio mlengwa aondolewe Kwa kiti!!

Nawaza TU na kuwazua kama kawaida yangu!

Hasta wakati wa chuma hali ilikua hivi hivi!!
 
Kudeal nao ni kuleta reforms tu. Watakosa cha kulilia.

Tume huru na Uchaguzi huru bado ccm itashinda. Faida kubwa zaidi ni kwa Tanzania itapata maendeleo na kulinda maslahi ya Kitaifa zaidi na zaidi.
Sijui kwa nini CCM sisi tunaogopa reforms na tuna wanachama hai wengi sana
 
"Mwafrika hawezi kujitawala" Botha
"Mpe mwafrika bunduki uone watakavyo anza kuuana wenyewe kwa wenyewe huyu ndo kiumbe asiye na fikra" Botha
 
TISS is completely compromised!!
Tanzania hatuna TISS. Tuna wapaka shedo tu wanaojiita usalama wa Taifa ambao hawaelewi hata maana ya majukumu yao na kazi yao ni kuwalamba miguu wanasiasa wa CCM ili wale
 
Angalieni kile kimetokea yaani umeuwa mbu kwa rungu alafu una tekenywa kidogo unanyanyuwa all resources on issue need extra intelligence yaani mnatumia pesa mpaka basi hii dunia ndio ilipo fikia.
 
kama watu mfano hapa JF wapo kufuta mada na kujiona HMTL YAO INAFANYA KAZI WATAJUA NINI KAMA CCM
 
Angalieni kile kimetokea yaani umeuwa mbu kwa rungu alafu una tekenywa kidogo unanyanyuwa all resources on issue need extra intelligence yaani mnatumia pesa mpaka basi hii dunia ndio ilipo fikia.
Mkuu TumainiEl kwani wame hackiwa kweli na watu wa nje au wao wenyewe wameji hacked ili wawe na sababu ya kuizuia twitter???
 
Suppose they are not furnished with the SMART ways
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…