Hivi wana JF huwa mnaishi wapi? Mbona huwa siwaoni?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Ukiingia kwenye JF Web Analysis utakutana na zaidi ya members zaidi ya laki 8, zaidi ya Post 8m na Guest 6m. Cha ajabu, huwa sifumanii mwana JF akiwa JF

Nimeishia kuona Guests wakiwa kwenye vituo vya mabasi, daladala, ndani ya daladala, kwenye maofisi yanayofanya interviews za ajira. Cha ajabu sijawahi kumuona member wa JF isipokuwa wawili tu tena maarufu humu

Mmoja alikuja kwenye duka langu la madawa baridi akiwa anahitaji frajili, kwa bahati mbaya akiwa anaelezea mvuruguko huo ndipo kuonesha kioo cha simu yake. Alikuwa kwenye uzi wa Ipi ni Sexual Fantansy yako

Mwingine nilikuwa naye kwenye mkesha. Alikuwa anareply uzi wa rikiboy kwa kuandika neno CHAI na picha la mbirika

Nyie wengine huwa mnareply-a mkiwa wapi? Mbona per second JF inapata more than 10k replies? Niambieni nijue
 
Ukiingia kwenye JF Web Analysis utakutana na zaidi ya members laki 12, zaidi ya Post 8m na Guest 6m. Cha ajabu, huwa sifumanii mwana JF akiwa JF

Nimeishia kuona Guests wakiwa kwenye vituo vya mabasi, daladala, ndani ya daladala, kwenye maofisi yanayofanya interviews za ajira. Cha ajabu sijawahi kumuona member wa JF isipokuwa wawili tu tena maarufu humu

Mmoja alikuja kwenye duka langu la madawa baridi akiwa anahitaji frajili, kwa bahati mbaya akiwa anaelezea mvuruguko huo ndipo kuonesha kioo cha simu yake. Alikuwa kwenye uzi wa Ipi ni Sexual Fantansy yako

Mwingine nilikuwa naye kwenye mkesha. Alikuwa anareply uzi wa rikiboy kwa kuandika neno CHAI na picha la mbirika

Nyie wengine huwa mnareply-a mkiwa wapi? Mbona per second JF inapata more than 10k replies? Niambieni nijue
Sisi tunaishi karibu na Mbinguni,na ni malaika watarajiwa siku zetu zikifika🤣.
 
Sisi tunaishi karibu na Mbinguni,na ni malaika watarajiwa siku zetu zikifika[emoji1787].
Ngojea nizidishe chabo na utafiti. Ntakuwa namfuma mmoja mmoja namuanika hapa. Ole wako uwe ulikuwa unamiliki maduka Dubai halafu nikukute umevaa suruali yenye kiraka[emoji23][emoji23]
 
Wana tiktok unajua wanapoishi?
Sio tu hao, hata wana twitter. Nimewahi kukutana na akina malkia nyuki, labella mafia n.k Sana sana Mlimani City na Sinza

Kwenye vyombo vya usafiri ni rahisi sana kuzoom ID za wana wanaotumia mitandao mingine ya kijamii hasa hasa wakiwa wanacomment. Ila JF ni ngumu
 
Ni hao hao wapo humu ni vile huwezi kuwajua
 
Back
Top Bottom