Hivi wana JF huwa mnaishi wapi? Mbona huwa siwaoni?

Hivi wana JF huwa mnaishi wapi? Mbona huwa siwaoni?

Siji kukusahau wewe mzee wa kyela siku ile stationary unapitia uzi wa kimasihara ulivyoficha simu kwa ghafra kama umefumaniwa nilijiuliza sisi wakuu tunatembea na Ngeu usoni?
 
Sio tu hao, hata wana twitter. Nimewahi kukutana na akina malkia nyuki, labella mafia n.k Sana sana Mlimani City na Sinza

Kwenye vyombo vya usafiri ni rahisi sana kuzoom ID za wana wanaotumia mitandao mingine ya kijamii hasa hasa wakiwa wanacomment. Ila JF ni ngumu
Ndio hao hao wapo huku ila sema wakiwa huku hawataki kujulikana kama ndio wao wa kule twita
 
Nna mpangaj wangu mmoja, baada ya msiba wa jiwe Alkua anapenda sn kunisimulia story za yoga kule Kwny Uzi wake wa darkdays, asijue Mimi pia naufuatilia sana[emoji4]

Siku nikamvizia anipe simu yake niijue I'd yake, nmefungua app yake nikakutana na GUEST.

Aisee niliumia sn[emoji4]
 
Nimewahi ona watu 2 tu kwa miaka yote hii wamefungua Jf
 
Nawajua wengi na nimekutana na wengi..

Hahaha ila kwa inakoelekea Lazma niweke Privacy protector glass kabisa..
Maana Kwa.umbea huo dah 😀😀
 
Mi naisha Denver siyo rahisi wewe kufika huku
 
Ukiingia kwenye JF Web Analysis utakutana na zaidi ya members zaidi ya laki 8, zaidi ya Post 8m na Guest 6m. Cha ajabu, huwa sifumanii mwana JF akiwa JF

Nimeishia kuona Guests wakiwa kwenye vituo vya mabasi, daladala, ndani ya daladala, kwenye maofisi yanayofanya interviews za ajira. Cha ajabu sijawahi kumuona member wa JF isipokuwa wawili tu tena maarufu humu

Mmoja alikuja kwenye duka langu la madawa baridi akiwa anahitaji frajili, kwa bahati mbaya akiwa anaelezea mvuruguko huo ndipo kuonesha kioo cha simu yake. Alikuwa kwenye uzi wa Ipi ni Sexual Fantansy yako

Mwingine nilikuwa naye kwenye mkesha. Alikuwa anareply uzi wa rikiboy kwa kuandika neno CHAI na picha la mbirika

Nyie wengine huwa mnareply-a mkiwa wapi? Mbona per second JF inapata more than 10k replies? Niambieni nijue
Kwamba wanajisifu ni matajiri au????
 
Kuna mwamba tulikutana ibadani anasoma uzi fulani jf nikamwambia na mimi ni member

Tukakubaliana tusijuane ID zetu
 
Karibu Sana Koromije Nafahamika Mzee Koromije Hata Mtoto Wa Chekechea Ukimuuliza Anakuleta Hadi Nyumbani
 
Nna mpangaj wangu mmoja, baada ya msiba wa jiwe Alkua anapenda sn kunisimulia story za yoga kule Kwny Uzi wake wa darkdays, asijue Mimi pia naufuatilia sana[emoji4]

Siku nikamvizia anipe simu yake niijue I'd yake, nmefungua app yake nikakutana na GUEST.

Aisee niliumia sn[emoji4]
Dah ali kuweza😂😆
 
Back
Top Bottom