Hivi wanafahamu kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa matarumbeta!!?

Hivi wanafahamu kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa matarumbeta!!?

Kama timu Yako haijauvunja kaa kimya! Mwanaume wa kweli hashangilii "bao" la mwanaume mwingine. Utamu itaujuaje?
1694971403614.jpeg
 
Unatupa bomu mochwari , unajisifia umeua!.
Timu imekuja Rwanda ikiwa imebebwa kwenye Fuso linaloijia Ng’ombe toka Sudan. Alafu bado mnajisifu.
Haya mtani.
 
Back
Top Bottom