Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Sep 17, 2023 Thread starter #21 nkese said: Kama timu Yako haijauvunja kaa kimya! Mwanaume wa kweli hashangilii "bao" la mwanaume mwingine. Utamu itaujuaje? Click to expand...
nkese said: Kama timu Yako haijauvunja kaa kimya! Mwanaume wa kweli hashangilii "bao" la mwanaume mwingine. Utamu itaujuaje? Click to expand...
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Sep 17, 2023 Thread starter #22 Division One said: Ni sahihi kadiri ya sheria za Fizikia. Mungu wa Yoshua ni zaidi ya super genius, alikuwa anajua concept ya natural frequency kabla ya mtu yeyote. Click to expand... Kabisa. ni physics tu, Mungu fundi. Ila nikiona picha za ukuta kuangushwa nacheka sana. Mbumbumbu waliwaza nini?
Division One said: Ni sahihi kadiri ya sheria za Fizikia. Mungu wa Yoshua ni zaidi ya super genius, alikuwa anajua concept ya natural frequency kabla ya mtu yeyote. Click to expand... Kabisa. ni physics tu, Mungu fundi. Ila nikiona picha za ukuta kuangushwa nacheka sana. Mbumbumbu waliwaza nini?
RedPill Prophet JF-Expert Member Joined Apr 25, 2023 Posts 1,408 Reaction score 3,564 Sep 17, 2023 #23 Wakili wa shetani said: Kabisa. ni physics tu. Ila nikiona picha za ukuta kuangushwa nacheka sana. Mbumbumbu waliwaza nini? View attachment 2752646 Click to expand... Unamaanisha timu ya simba kumbe? Nilikuwa sijakupata.
Wakili wa shetani said: Kabisa. ni physics tu. Ila nikiona picha za ukuta kuangushwa nacheka sana. Mbumbumbu waliwaza nini? View attachment 2752646 Click to expand... Unamaanisha timu ya simba kumbe? Nilikuwa sijakupata.
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,804 Reaction score 2,482 Sep 17, 2023 #24 Unatupa bomu mochwari , unajisifia umeua!. Timu imekuja Rwanda ikiwa imebebwa kwenye Fuso linaloijia Ng’ombe toka Sudan. Alafu bado mnajisifu. Haya mtani.
Unatupa bomu mochwari , unajisifia umeua!. Timu imekuja Rwanda ikiwa imebebwa kwenye Fuso linaloijia Ng’ombe toka Sudan. Alafu bado mnajisifu. Haya mtani.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 17, 2023 #25 mwarabu feki said: Tofautisha kupamba na kupayuka. Mbumbumbu wote ni wapayukaji yaani midomo yenu inapayuka sijapata Kuona[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Nadhani jina la mbumbu lingewafaa nyie...
mwarabu feki said: Tofautisha kupamba na kupayuka. Mbumbumbu wote ni wapayukaji yaani midomo yenu inapayuka sijapata Kuona[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Nadhani jina la mbumbu lingewafaa nyie...
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Nov 7, 2023 Thread starter #26 Kalpana said: Nadhani jina la mbumbu lingewafaa nyie... Click to expand... Simba tuliwaambia kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa mavuvuzela, si kitu cha kujivunia.
Kalpana said: Nadhani jina la mbumbu lingewafaa nyie... Click to expand... Simba tuliwaambia kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa mavuvuzela, si kitu cha kujivunia.