Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfanyakazi wa Unuted Nations halipi kodi yoyte ya serikali. Lakini, ukiwa mfanyakazi wa UN unakatwa fedha nyingi kwenye mshahara wako ambayo wanaiita "Staff Assessment". Hii staff assessment inarudi UNHQ na inahesabika kama sehemu ya member state contribution to the United NationsHivi ukifanya kazi UN kama WFO na UNHCR hivi unakatwa Payee na NSSF?
Asante
So kwa mfano nafasi wanazotangaza wanasema ni NOB grade,,ambayo inaanzia million 9.3, je huyu anakatwa laki mbili basi yakuchangia UN na Hana Cha NSSF Wala Makati mengine siyo?Mfanyakazi wa Unuted Nations halipi kodi yoyte ya serikali. Lakini, ukiwa mfanyakazi wa UN unakatwa fedha nyingi kwenye mshahara wako ambayo wanaiita "Staff Assessment". Hii staff assessment inarudi UNHQ na inahesabika kama sehemu ya member state contribution to the United Nations
Kwa mfano, say kuna watanzania 100 wameajiriwa UN hapa Tanzania, kila mmoja anakatwa 200k, maana yake staff wa-Tanzania wanaichangia nchi yao 20,000,000 kila mwezi as country contribution to United Nations operations globally. Na irleweke keamba mtanzania yeyote anayefanya kazi UN, popote duniani, anakatwa hiyo fedha. Ndiyo maana staff wa UN hakatwi kodi.
Mfanyakazi wa UN anapostaafu hana kodi anayolipa kutoka kwenye mafao yake. Na hakutakuwa na "staff assessment" deduction kwenye fedha yake ya monthly pension.
Nadhani umeeliwa mkuu