Mfanyakazi wa Unuted Nations halipi kodi yoyte ya serikali. Lakini, ukiwa mfanyakazi wa UN unakatwa fedha nyingi kwenye mshahara wako ambayo wanaiita "Staff Assessment". Hii staff assessment inarudi UNHQ na inahesabika kama sehemu ya member state contribution to the United Nations
Kwa mfano, say kuna watanzania 100 wameajiriwa UN hapa Tanzania, kila mmoja anakatwa 200k, maana yake staff wa-Tanzania wanaichangia nchi yao 20,000,000 kila mwezi as country contribution to United Nations operations globally. Na irleweke keamba mtanzania yeyote anayefanya kazi UN, popote duniani, anakatwa hiyo fedha. Ndiyo maana staff wa UN hakatwi kodi.
Mfanyakazi wa UN anapostaafu hana kodi anayolipa kutoka kwenye mafao yake. Na hakutakuwa na "staff assessment" deduction kwenye fedha yake ya monthly pension.
Nadhani umeeliwa mkuu