regnaldshirima
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 124
- 78
Hawajatajirika ila utoaji huo wa elimu ndio biashara yao,kwani walikuambia wanatoa elimu bure.Wako kwenye hatua ya kutajirika.Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.
ASante
Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.
ASante
Wako kitheoty tu......tunataka tusikie wanamiliki samba la ekari hata moja tuone.Hawajatajirika ila utoaji huo wa elimu ndio biashara yao,kwani walikuambia wanatoa elimu bure.Wako kwenye hatua ya kutajirika.
Sipati picha! hivi kweli uko sawasawa!????Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.
ASante
Inawezekana ni wale wabarikiwa wa kuongeaWengi wauza sura.
una maana ganiSipati picha! hivi kweli uko sawasawa!????
Wanasema think beyond employment ila wanakesha kuwatafutia ndugu zao ajira.Inawezekana ni wale wabarikiwa wa kuongea
Information ni pesa. Kuna watu wana karama hiyo kwa hiyo ni njia moja ya kujiajiri..Labda swali lako lingekuwa na mantiki zaidi ungeuliza je wanaopewa elimu na hawa watu baadaye huwa wanafanikiwa? Basically hawa jamaa ni kama motivational speaker wapo kwa ajili ya kuwapa watu hamasa kwa hiyo yenyewe kama yenyewe ni biashara.Inawezekana ni wale wabarikiwa wa kuongea
Jibu lako zuri sana..Wapo waliotajirika na ambao hawajatajirika !! Ila kazi yao ni kukujenga ujitambue, ujue ni fursa gani inakufaa ulivyo,na kukumbusha kuwa unaweza fanya kitu ukithubutu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] u made my dayHawajatajirika ila utoaji huo wa elimu ndio biashara yao,kwani walikuambia wanatoa elimu bure.Wako kwenye hatua ya kutajirika.