Hivi wanaotoa elimu za Ujasiriamali wao wametajirika?

Hivi wanaotoa elimu za Ujasiriamali wao wametajirika?

Kwani Mwalimu aliyemfundisha Magufuli shule ya Msingi au Sekondari nae aliwahi kuwa Waziri au Rais? Wewe mwalimu aliyekufundisha kusoma na kuandika darasa la kwanza si sasa either yupo choka mbaya au pesa ya kustaafu kidogo ndiyo inamstiri...
 
Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.

ASante
Hawajatajirika ila utoaji huo wa elimu ndio biashara yao,kwani walikuambia wanatoa elimu bure.Wako kwenye hatua ya kutajirika.
 
Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.

ASante
Sipati picha! hivi kweli uko sawasawa!????
 
Inawezekana ni wale wabarikiwa wa kuongea
Information ni pesa. Kuna watu wana karama hiyo kwa hiyo ni njia moja ya kujiajiri..Labda swali lako lingekuwa na mantiki zaidi ungeuliza je wanaopewa elimu na hawa watu baadaye huwa wanafanikiwa? Basically hawa jamaa ni kama motivational speaker wapo kwa ajili ya kuwapa watu hamasa kwa hiyo yenyewe kama yenyewe ni biashara.
 
Fikra tumetofautiana kila mtu na ufahamu wake mbona walimu wanafundisha wanafunzi na wanafaulu vizuri zaidi pengine hata kumpita mwalimu wake
 
Back
Top Bottom