essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 280
Wao wenyewe kwanini hawana uthubutu huo?Wapo waliotajirika na ambao hawajatajirika !! Ila kazi yao ni kukujenga ujitambue, ujue ni fursa gani inakufaa ulivyo,na kukumbusha kuwa unaweza fanya kitu ukithubutu.
hutakiwi kufikilia wao wanautajili kias gan,tumia wanachokuelekeza kufanikisha maisha yako,Wako kitheoty tu......tunataka tusikie wanamiliki samba la ekari hata moja tuone.
Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.
ASante
Kula tano!Marubani, mainjinia, madaktari, n.k wote wamefundishwa na mwalimu.....
Shigongo unamfahamu?wanaishi kwa kuuza vitabu vyenye theory za kuokoteza na kutoza viingilio vya semina
My friend...atanifundishaje kujitambua ilhali hajitambui?Wapo waliotajirika na ambao hawajatajirika !! Ila kazi yao ni kukujenga ujitambue, ujue ni fursa gani inakufaa ulivyo,na kukumbusha kuwa unaweza fanya kitu ukithubutu.
Yawezekana ikawa kweli na yawezekana ikawa si kweli ...Naamini ni vizuri kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa na sio wanaojua kuongea sana.
Hawa wakufunzi wengi wao wanaongelea nadharia za ujasiriamali ambao hawaujui. Mtu hawezi kukupa mbinu za kweli za kuingiza milioni 3 kwa mwezi huku yeye anaishia kupata laki 4 za ada za viingilio kwenye semina anazowapa. Wachumia tumbo hawa
Yuko Sawa tena sana tuu, hawa wafundishaji hawana hata baiskeli. Mbwembwe tuuSipati picha! hivi kweli uko sawasawa!????
OK, endelea kujiaminisha hivyo!Yuko Sawa tena sana tuu, hawa wafundishaji hawana hata baiskeli. Mbwembwe tuu
Toa mfano, by the way ujasiriamali haufundishwi, its just from within ua heart. Inayofundishwa tayari ni biasharaOK, endelea kujiaminisha hivyo!