Hivi Wanasiasa wanakula rushwa au rushwa ndio inawala wanasiasa? Vituko vimezidi

Hivi Wanasiasa wanakula rushwa au rushwa ndio inawala wanasiasa? Vituko vimezidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Yawezekana kabisa mifumo ndio imeoza kwa rushwa hivyo wanasiasa wanapoingia katika uongozi wowote ule Rushwa ndio inayowakaribisha kama mwenyeji.

Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaoendesha hii dunia na ndio wanaotengeneza mifumo ovu ya kifisadi.

Wewe jaribu tu kuwaangalia wabunge na madiwani wetu kwa mfano, utagundua wao ndio Wanaliwa na Rushwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Rushwa Haitaisha nchi hii,Tuendelee Kuipiga Promo.
 
Back
Top Bottom