Yawezekana kabisa mifumo ndio imeoza kwa rushwa hivyo wanasiasa wanapoingia katika uongozi wowote ule Rushwa ndio inayowakaribisha kama mwenyeji.
Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaoendesha hii dunia na ndio wanaotengeneza mifumo ovu ya kifisadi.
Wewe jaribu tu kuwaangalia wabunge na madiwani wetu kwa mfano, utagundua wao ndio Wanaliwa na Rushwa.
Maendeleo hayana vyama!