Hivi wanasiasa wanawake huwa wanashika mimba wakati gani?

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Nimejiuliza kwa muda mrefu bila kupata majibu.
Wacha leo nitapike hadharani na naomba leo mnipe jibu.

Utasikia tu, ana watoto kadhaa lakini katu sijawahi kumuona
mwanasiasa mwanamke akiwa mjamzito. Hebu hata
wewe chunguza halafu niambie kati ya hawa waliopo
madarakani ambao wana watoto, lini walionekana wajawazito
zaidi ya kuambiwa tu kuwa wana watoto.
 
Walizaa kwanza ndo wakajiunga na siasa.
 
Mwanasiasa unamaanisha yupi hasa?mimi nilimuona mchumba wa Dr slaa akiwa mjamzito au yeye si mwanasiasa?
 

kwani josephina mshumbusi siyo mwanasiasa? si juzi alikuwa na mimba na sasa amemzalia dr. slaa mtoto?
 
hii siri labda unaweza kupata kwa Mama Mongella, Anna Makinda, Hawa Mchopa nk.
 
mbona Batilda alikuwa na mimba ya mamvi wakati anagombea ubunge arusha mjini!
 
Kama wewe ni mtoto wa mwisho kwenu je ulishawahi kumuona Mama yako akiwa na mimba? maana kwa swali hili linaonesha hata umri wako ni wa miaka mingapi!!......
Kifupi huna tofautu na wapuuzi wengine wanaouliza kama ulishawahi kuudhulia mazishi ya zeruzeru.
 

duh mkali we mtu wa kavu kweli, duh..hahaha
 

kweli hapa shuzi limepata mjambaji lol!
 

Mimi nimewahi kumshuhudia Mary Nagu akiwa na kibendi, na nilipendezwa sana na jinsi alivyokuwa anajisitiri kwani alivaa kiheshima sana hadi alipojfungua. siyo rahisi kwa mtu wa kawaida kumuona kwani huna kitu kinachokufanya u collide naye mara kwa mara. But wanazaa kama kawaida. ukibahatika kwena mjengoni utajionea wanapokuwa na vibendi.
 

Naogopa ban..........una bahati sana mkuu! Ila chunguza utagundua u do not possess the genes of the man u call him your daddy! it is most likely u belong to them because of the adoption law. Rejected individuals recovered from garbages and brought up in orphanage centers know nothing about respect for others and for them all other individuals are as cruel as their mothers!
 

p..o..l..e..p..o..l..e jamani:A S-confused1:
 
Wewe unajifungua hiyo mimba lini? Poor thread. Craaaaaap
 
Hili swali ni gumu kweli..................................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…