ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,652
Nimejiuliza kwa muda mrefu bila kupata majibu.
Wacha leo nitapike hadharani na naomba leo mnipe jibu.
Utasikia tu, ana watoto kadhaa lakini katu sijawahi kumuona
mwanasiasa mwanamke akiwa mjamzito. Hebu hata
wewe chunguza halafu niambie kati ya hawa waliopo
madarakani ambao wana watoto, lini walionekana wajawazito
zaidi ya kuambiwa tu kuwa wana watoto.