Hivi wanaume hatuwezi???

Hivi wanaume hatuwezi???

Preta watarudi wengi,singida,kondoa,moshi,arusha,tanga ninaona wengi wako busy na ndoa za watu!
 
Ah.. wanawake mlioolewa, mnajishahau sana na kuwa vyanzo vya matatizo kiasi majibaba yanaparamia kila wakionacho mbele yao.. eti oo mie mke wangu yuko bize sana na ukifika usiku anajitupa tu, mara oo mke wangu mkorofi sana, mara ooo... Kama kweli mwanamke akimpakulia mwanaume dozi zake, usiku na mchana, ubabe huo wa mwanaume kusaka cha nje atautoa wapi, itatupunguzia kero kwa kweli, na wasioolewa wakapata watu wa kuwaoa.. INAKERAA.. WANAUME WANATIMKAAA. wewe mwanaume akujie, anakuuliza una kazi.. sina, unafanya biashara gani... sina.. afu anakuona chumba kimetulia labda na usafiri unao.. anajua tu kuna mdu anakuhudumia.. anakuchezea anakuacha.. INAUMA
 
Back
Top Bottom