Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

Ooh. Sawa.

Hivyo ndani huwa unaweka nini?

Kama nilivyojibu awali. Inategemea naenda wapi kufanya jambo gani. Kuna wakati kutakua na passport, cheque book, note book na kitabu kama sio vitabu.

Narudia tena, nabeba hivo vibegi japo sio kila mahali pia ni vile vya kiume.
 
Hao wenye vibegi vidogo inaweza ikwa ni wageni kwa hiyo humo wanakuwa wameweka vitu vidogo vidogo kama vibali.pasport au documents mhimu ambazo ukiziacha hotel ukiwa ugenini zinaweza kupotea .kwa hiyo unajikuta unatembea nazo popote pale unapokuwa.kimsingi nafanyaga hivyo nikiwa ughaibuni

Ila hayo mabegi makubwa makubwa hiyo ni sababu nyingine.labda amebeba mikate na juice vya kula mchama
 
Mimi kuna wale ambao wanabeba mabegi utadhani wanafunzi huwa najiuliza hata jibu sipati. Yaani kama ni fasheni hiyo imenipita kando kabisa yaani
 
Kiumeni tu
open-wallet-full-money-13372479.jpg
 
Yaani unakuta wengine wanabeba begi kubwa kama adhabu aisee yaani ukikaa nae kwenye gari au basi mpaka utaona huruma na migongo inawauma sema wanamezea tu
 
Kama nilivyojibu awali. Inategemea naenda wapi kufanya jambo gani. Kuna wakati kutakua na passport, cheque book, note book na kitabu kama sio vitabu.

Narudia tena, nabeba hivo vibegi japo sio kila mahali pia ni vile vya kiume.
Bro hapo mwisho ulivyojiwahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu hawachelewiiiii kushika tama na kuzungusha vichwa kwa huzuni "Daaaaah ndio baaaaaasiiiii tena"
 
Bro hapo mwisho ulivyojiwahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu hawachelewiiiii kushika tama na kuzungusha vichwa kwa huzuni "Daaaaah ndio baaaaaasiiiii tena"

Ni kweli huwa nabeba kapteni. Kuna muda unaenda kwenye mipango inabidi uwe na cash ya kutimiza majukumu huko watu wanakusubiri utatembea na bahasha? Napenda sana kusoma vitabu, vitakuwepo kwenye kabegi popote nnapoenda.

Nimejihami kwa sababu kwenye picha hapo juu huyo jamaa wa mwisho nimeshindwa kumuelewa....wanzanzibar ni kawaida sana kuweka kwapani kikapu.
 
Hiyo ya kwanza na ya pili, kuna jamaa anabeba hicho kimkoba kutuletea Saa za mkononi Ofisini! Saa zake ya bei chini kbs ni 200K. So huwa anakuja nazo chache tu
 
Back
Top Bottom