Ooh. Sawa.
Hivyo ndani huwa unaweka nini?
Ngoja wakuje niko nawasubiri hapa mkujee mnaobeba hiyo mikoba
Jamani baba yeyoo wangu nimekumiss mm jamani we lazima ubebe tokana na biashara zako si huwa unaweka mahelaMie huwa nabeba Mama Yeyoo
Bro hapo mwisho ulivyojiwahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu hawachelewiiiii kushika tama na kuzungusha vichwa kwa huzuni "Daaaaah ndio baaaaaasiiiii tena"Kama nilivyojibu awali. Inategemea naenda wapi kufanya jambo gani. Kuna wakati kutakua na passport, cheque book, note book na kitabu kama sio vitabu.
Narudia tena, nabeba hivo vibegi japo sio kila mahali pia ni vile vya kiume.
Bro hapo mwisho ulivyojiwahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu hawachelewiiiii kushika tama na kuzungusha vichwa kwa huzuni "Daaaaah ndio baaaaaasiiiii tena"
Congo ndio style yaoKwa hizo fashion sio bongo hiyo labda SA.Ingawa bongo wanaiga utakuta humo ndani hamna chochote(zamani ngada)
Hahahaaaaa. Sitaki mieeee. LolUmama ukiwa mwingi mwingine ndio wanauweka humo