Hahaaa. Wanaume wa humu ni wa dunia nyingine atiii. [emoji12]Na kweli hawazi pata mtu wa humu [emoji23][emoji23]
Be sure of what you say with vivid proof before pointing a finger at someone, that's a huge allegations ujue maana yake katika kila wanaume 10 wenye mikoba hiyo basi 9 ni shoga na mmoja tu ndio anaweza kuwa mzima?! Mkuu hapo si sawa though nakubali kuwa most of wanaume wasio riziki wanabeba mikoba ila at least ungeweka 50% kidogo haijakaa vibaya...baadhi niliowaona sio mashoga ni wanaume rijali ila most of them hawajaishi Tanzania so kwa hapa tunashangaa ila kwa wenzetu its a normal thing especially kwa wachina ndio wanabebaaaa hadi yale ya kiunoni kama mkanda90% ya wanaobeba begi hizi ni Mashoga. wameweka tuu Condoms humo na K.Y jelly.
KabisaHii kwa wanaume wa dar
Sio kweli bro nishafanya research kuhusu hili90% ya wanaobeba begi hizi ni Mashoga. wameweka tuu Condoms humo na K.Y jelly.
Hahah!!Hahahaaaaa. Sitaki mieeee. Lol
Kwani unawaona hao ni WANAUME wa kawaida????Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!!
Kweli yajayo yanashangaza.View attachment 774805View attachment 774807View attachment 774813
Akuna boy wa namna hiyo humu jfMmh. Nimejikuta napatwa na mshangao. Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.
Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kapochi. Hahaaaa.
Hahaaa. Washakuja wawili watatu Mkuu. Soma soma vizuri.Akuna boy wa namna hiyo humu jf
Nimewaona kumbe wapo wengiHahaaa. Washakuja wawili watatu Mkuu. Soma soma vizuri.
Mie mwenyewe niliwaza kama wewe Mkuu.
Labda na mimi nkienda nje ntakuwa nabeba maana wanasema ukienda nnje ndo utaona umuhimu wakeHahaaa. Washakuja wawili watatu Mkuu. Soma soma vizuri.
Mie mwenyewe niliwaza kama wewe Mkuu.