Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie mkoba...!!

Kweli yajayo yanashangaza.
IMG_20180512_120546_595.jpg
IMG_20180512_120612_076.jpg
IMG_20180512_120639_615.jpg
 
Mmh. Nimejikuta napatwa na mshangao.

Kazi ipo lakini sababu tunakoelekea watatupita sisi wanawake.

Pia niseme jibu halitapatikana sababu sidhani kama itatokea Me wa jf aseme huwa anabebaga kipochi ka hicho.
watakuwa wanaume wa snapchat
 
Back
Top Bottom