Hivi wanaume mmelogwa?

Hivi wanaume mmelogwa?

utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

kwenye red hapo unamaanisha misumari sio? sasa unataka uwazindike hata wasio wa kwako,maana umesema wote,si uonevu huo yaani Bishanga nijishtukie naosha vyomb,nadeki,sitoki ndani,nalia hovyo kisa mamaa Kigogo,lol!

na utadeki sanaa si ndo hivyo mnavyotafuta mfanyiwe
 
Pole Mamaa Kigogo! Inaonekana mumeo amekujeruhi na nyumba ndogo zake. Jichunguze, unatimiza wajibu wako ndani?
 
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

nawakilisha

Ni kweli si tabia nzuri. Mwanaume hata kama una cheat basi hakikisha nyumbani kwako kuko safi. Yaani your family has to be enjoying life...Hizo kazi za nje ziwe kama matokeo tu.

Lakini nikirudi pia kwenye post yako hapo juu kwenye bluu;

i) Usihalalishe cheating kwenye ndoa kwa kutumia hizo lame excuses.
ii) Cheating ni tabia binafsi ya mtu, ni wanawake wangapi tunawafamu ambao wana-cheat kwenye ndoa zao ili hali waume zao wanawatimizia mahhitaji yao yote? Unakuta mwanamke ana gari zuri, nyumba nzuri, watoto wanasomeshwa shule nzuri , yeye mwenyewe ana pesa ya kununua chochote anachokita. Hapa namaanisha shopping za mara kwa mara za nguo, viatu na vikorokoro vingine ambavyo wanaweke wengi ndio ugonjwa wao. Lakini bado ana - cheat big time mpaka hata huyo mumewe unamhurumia!
 
Mamaa Kigogo umenena, maana mie mwenyewe huwa nafanya karesearch kangu kadogo ka kutazama wanaume wanaocheat nimeona wengi wana wake wazuri sana, sasa wenzetu labda mtuambie huko kwa wake zenu wazuri nini kinakosekana??? Je? kuna ugumu gani unaoupata wewe kama mwanaume kumwambia mkeo kile unachokipenda???? Lingine nimeona siku hizi kuna katabia ka wanawake kupenda "Ushirikina" nawaomba wababa tafadhali sana muwe makini na hawa wamama/dada wengine ndio wachangia msahau familia zetu. Mnisamehe mie ni dada nilichoandika hapa ndicho naona kila siku kinafanyika.
wanawake walio ndani ya ndoa wanajisahau sana kwa waume zao
 
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

nawakilisha
naenda kusema kwa mama...kusema....naenda kusema kwa mamaaaaa!!!!!!!
 
Vipi mamaa Kigogo yamekupata, Mbona unaongea kwa uchungu sana???
 
mamaa Kigogo Leo..

mamaa Kigogo JANA....

kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

mamaa Kigogo JUZI..
jamani naombeni mnisaidie kwa wale wanaume ambao mmeshakutana na hizi kitu waswahili tunaziita chachandu au chain za kiunoni kwa wanawake je zina rahaa gani kwa wanaume ?NA JE ZINAKUWA NZURI ZAIDI ZIKIWA CHACHE AU NYINGI .Jamani naombeni mnielimishe na mimi niweze kumfurahisha wa ubavu wangu nirinde ndoa yangu maana vichenchede vikiniamulia hata nyumbani hatakuwa anarudi na ndo nasikia ndo mabo yao hayo yakulipiga hivyo vitu vya kiunoni.

mamaa Kigogo alivyoingia janvini Juzikati ilee....

Habari zenyu wana jf , kwakweli nimekunwa na haya majambozi ya jamii forum sasa tuko pamoja ili tuweze kushare huu utamu wa jf.

MIE YANGU MACHO.. NAPITAPITA TU
 
Mungu wa Mbinguni awape utashi wa kujua thaman na baraka zilizopo ndani ya mke...////yaan wamezidi wanaume wa siku hizi ma kama kurogwa basi huyo mganga wao ameshakufa yaani ni aibu afu wanajisifia wao ni vidume.
 
wanawake walio ndani ya ndoa wanajisahau sana kwa waume zao

kwani wanaume huwa hawajisahau? usiblame watu wengine kwa uchafu wako! nilikaa na mama mtu mzima chuo kuna mbaba akafall kwa huyo mama akawa anamwita honey, sweetie nikaona mama anaingia line mara mama akaanza kupendeza akaanza kuvaa vizuri mrembo nikamuuliza kulikoni akasema hajawahi kuitwa honey wala kuambiwa ni beatiful au amependeza na mme wake so kumbe yeye ni mrembo ndio amegundua baada ya kuambiwa na mwnaume mwingine. so pande zote mbili zina mapungufu inabidi kustawisha mapenzi yenu na si kukimbia matatizo
 
wanaume tumeumbwa mateso,ukiwa kazini kelele ukirudi nyumbani nako kelele nyingi ndio
manake tunaamua kujirusha na vingasti ambao wanajua nn maana ya kuhandle.
wanawake mnajisahau sana mkishaolewa, mume akitaka tundi hadi aombe na kupewa kwa masharti
,wote mnafanya kazi lkn wanawake wanataka mwanume yeye ndio aagharamie kila kitu home
za kwenu hazionekani bora sasa kuwa na wanje.sasa na hao wa nje pia wanahitaji huduma kwani sii wote watabahatika kuolewa wanahitaji tuwahudumie pia wajamini,kizuri kula na nduguyo.
mama kigogo jiangalie ww una mapungufu yapi kwanza kabla ya kumlaumu mwenza,,kweli ndoa kazi

Hudumia kwanza watoto kama mkeo kakukera sio unahamishia huduma zote nyumba ndogo eti kisa mmequarrel na wife wako! Hivi kweli mtu na akili yako timamu unagombana na mkeo alafu unaamua kwenda kuvinjari na kimada au marafiki zako tu nyumbani huachi kitu inamaana hata watoto huwakumbuki?? Kwa nini uwatese kwa maugomvi yako we na mkeo? Kama kisingizio ni kwamba mkeo anakutegea we ugharamie kila kitu, kwani ukienda huko kwa kimada hugharamii? What if na mkeo nae ataamua kutafuta kidumu ili apooze machungu yake, utafurahi? Watoto wenu mtakuwa mmewaweka kwenye situation ipi? Acheni hizo bana, be responsible!
 
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

nawakilisha

Mada yako ni nzuri sana ila umeiwasilisha kwa jazba mno kiasi kwamba itavutia negative contributions nyingi zaidi kuliko constructive contributions hasa kutoka kwa unaowatuhumu (wanaume) na hao unaowaita micharuko. Next time wasilisha mada ambayo ni neutral ili uweze kupata michango mingi na yenye kujenga na kuelimisha. Punguza asili ndugu utaua!!!
 
mamaa Kigogo Leo..

mamaa Kigogo JANA....

mamaa Kigogo JUZI..

mamaa Kigogo alivyoingia janvini Juzikati ilee....

MIE YANGU MACHO.. NAPITAPITA TU
Mmmmh Salma nimekukubali nadhani we ndo wale mnaoitwa wachunguzi wa mambo na sio wambea. Kwa kweli hapo sina cha kuongeza. Jibu tumelipata.
 
kwani wanaume huwa hawajisahau? usiblame watu wengine kwa uchafu wako! nilikaa na mama mtu mzima chuo kuna mbaba akafall kwa huyo mama akawa anamwita honey, sweetie nikaona mama anaingia line mara mama akaanza kupendeza akaanza kuvaa vizuri mrembo nikamuuliza kulikoni akasema hajawahi kuitwa honey wala kuambiwa ni beatiful au amependeza na mme wake so kumbe yeye ni mrembo ndio amegundua baada ya kuambiwa na mwnaume mwingine. so pande zote mbili zina mapungufu inabidi kustawisha mapenzi yenu na si kukimbia matatizo

Sa siunaona??huyo mama siku zote alikuwa mchafumchafu hadi alipotokewa ndo akaanza kujipiga sopsop na kuanza kupendeza kwa kuvaa vizuri na kuwa mrembo. hapo inamaana kwa mume wake anajiwekaweka tu vile keshakuwa guaranteed maisha na mumewe.Mume atamwambiaje kapendeza wakati unasema siku zote alikuwa hapendez hadi alipokuwa approached??? jitahidin dada zetu kuwa fashioned mwanzo mwisho then muone kama kutakuwa na matatizo. Sio kabla hujaolewa mara kimini, mara skin jeans mara kijikaptura then ukishaolewa kaniki na wewe, wewe na kaniki au kanga ya juu ya matiti na wewe, wewe na kanga hadi maungo uliyonayo hayaonekani tena ka bi mkora, yanafichwa na tenge lako juu ya matiti, utamkalisha nani chini hapo???
 
Siwezi kuunga hoja hili na wala sipingi ila nadhani kuna wakati wanawake wanakosa. sio kosa la kumkosea mume ndani ya ndoa ila sometimes mwanamke anaweza pia kumshawishi mwanaume kumuoa wakati alakua hajataka kuoa. sasa anajikuta ndani ya ndoa ila bado anatamani vitu fulani fulani. tukianza kuongea kwa kutoa mifano kila mtu atakuja na mfano wa mwaume mwenye kosa au mwanamke mwenye kosa.
tusijumlishe wanaume wote, kuna ambao wafo loyal na waaminifu sana tu...
 
sio wote mama ila baadhi wapo hivyo n akili zao tu ila tunaweza kuwasaidia waondokane na hali iyo.
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

nawakilisha
 
Mama Kigogo you made my day. Napinga ushoga. I like your way.

Hudumia kwanza watoto kama mkeo kakukera sio unahamishia huduma zote nyumba ndogo eti kisa mmequarrel na wife wako! Hivi kweli mtu na akili yako timamu unagombana na mkeo alafu unaamua kwenda kuvinjari na kimada au marafiki zako tu nyumbani huachi kitu inamaana hata watoto huwakumbuki?? Kwa nini uwatese kwa maugomvi yako we na mkeo? Kama kisingizio ni kwamba mkeo anakutegea we ugharamie kila kitu, kwani ukienda huko kwa kimada hugharamii? What if na mkeo nae ataamua kutafuta kidumu ili apooze machungu yake, utafurahi? Watoto wenu mtakuwa mmewaweka kwenye situation ipi? Acheni hizo bana, be responsible!
 
wanaume tumeumbwa mateso,ukiwa kazini kelele ukirudi nyumbani nako kelele nyingi ndio
manake tunaamua kujirusha na vingasti ambao wanajua nn maana ya kuhandle.
wanawake mnajisahau sana mkishaolewa, ......mume akitaka tundi hadi aombe na kupewa kwa masharti
ngoja watoto walale,tuzime taa, hilo kitu haliingi mdomoni kwangu,usinyonye maziwa yataanguka, na bado hujamaliza tu ? huku nje -baby unataka staili gani leo,honey ngoja niilambe kwanza,shika finya popote,hamna kuzima taa,unavuliwa nguo na baadae kuvalishwa,yaani nilikumisi we acha tu utarudi lini sweety au lala tu wajameni nami nikumbatie kifua chako. Haya kazi kwako Mamaa Kigogo.
 
Back
Top Bottom