Mamaa Kigogo
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 105
- 43
- Thread starter
-
- #21
kumbe ndio mnavyotukaanga hivyo,loh!
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
kwenye red hapo unamaanisha misumari sio? sasa unataka uwazindike hata wasio wa kwako,maana umesema wote,si uonevu huo yaani Bishanga nijishtukie naosha vyomb,nadeki,sitoki ndani,nalia hovyo kisa mamaa Kigogo,lol!
na utadeki sanaa si ndo hivyo mnavyotafuta mfanyiwe
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
wamerogwa, na alowaroga kafa, maana m2 watoto wanapiga pasi ndefu yy anahonga bar
kurogwa wapi!watu wanatia heshima bar na mtaani wamjue yeye nani.ulimbukeni tu huo.
wanawake walio ndani ya ndoa wanajisahau sana kwa waume zaoMamaa Kigogo umenena, maana mie mwenyewe huwa nafanya karesearch kangu kadogo ka kutazama wanaume wanaocheat nimeona wengi wana wake wazuri sana, sasa wenzetu labda mtuambie huko kwa wake zenu wazuri nini kinakosekana??? Je? kuna ugumu gani unaoupata wewe kama mwanaume kumwambia mkeo kile unachokipenda???? Lingine nimeona siku hizi kuna katabia ka wanawake kupenda "Ushirikina" nawaomba wababa tafadhali sana muwe makini na hawa wamama/dada wengine ndio wachangia msahau familia zetu. Mnisamehe mie ni dada nilichoandika hapa ndicho naona kila siku kinafanyika.
naenda kusema kwa mama...kusema....naenda kusema kwa mamaaaaa!!!!!!!utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
Vipi mamaa Kigogo yamekupata, Mbona unaongea kwa uchungu sana???utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa
jamani naombeni mnisaidie kwa wale wanaume ambao mmeshakutana na hizi kitu waswahili tunaziita chachandu au chain za kiunoni kwa wanawake je zina rahaa gani kwa wanaume ?NA JE ZINAKUWA NZURI ZAIDI ZIKIWA CHACHE AU NYINGI .Jamani naombeni mnielimishe na mimi niweze kumfurahisha wa ubavu wangu nirinde ndoa yangu maana vichenchede vikiniamulia hata nyumbani hatakuwa anarudi na ndo nasikia ndo mabo yao hayo yakulipiga hivyo vitu vya kiunoni.
Habari zenyu wana jf , kwakweli nimekunwa na haya majambozi ya jamii forum sasa tuko pamoja ili tuweze kushare huu utamu wa jf.
wanawake walio ndani ya ndoa wanajisahau sana kwa waume zao
wanaume tumeumbwa mateso,ukiwa kazini kelele ukirudi nyumbani nako kelele nyingi ndio
manake tunaamua kujirusha na vingasti ambao wanajua nn maana ya kuhandle.
wanawake mnajisahau sana mkishaolewa, mume akitaka tundi hadi aombe na kupewa kwa masharti
,wote mnafanya kazi lkn wanawake wanataka mwanume yeye ndio aagharamie kila kitu home
za kwenu hazionekani bora sasa kuwa na wanje.sasa na hao wa nje pia wanahitaji huduma kwani sii wote watabahatika kuolewa wanahitaji tuwahudumie pia wajamini,kizuri kula na nduguyo.
mama kigogo jiangalie ww una mapungufu yapi kwanza kabla ya kumlaumu mwenza,,kweli ndoa kazi
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
Mmmmh Salma nimekukubali nadhani we ndo wale mnaoitwa wachunguzi wa mambo na sio wambea. Kwa kweli hapo sina cha kuongeza. Jibu tumelipata.mamaa Kigogo Leo..
mamaa Kigogo JANA....
mamaa Kigogo JUZI..
mamaa Kigogo alivyoingia janvini Juzikati ilee....
MIE YANGU MACHO.. NAPITAPITA TU
kwani wanaume huwa hawajisahau? usiblame watu wengine kwa uchafu wako! nilikaa na mama mtu mzima chuo kuna mbaba akafall kwa huyo mama akawa anamwita honey, sweetie nikaona mama anaingia line mara mama akaanza kupendeza akaanza kuvaa vizuri mrembo nikamuuliza kulikoni akasema hajawahi kuitwa honey wala kuambiwa ni beatiful au amependeza na mme wake so kumbe yeye ni mrembo ndio amegundua baada ya kuambiwa na mwnaume mwingine. so pande zote mbili zina mapungufu inabidi kustawisha mapenzi yenu na si kukimbia matatizo
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
Hudumia kwanza watoto kama mkeo kakukera sio unahamishia huduma zote nyumba ndogo eti kisa mmequarrel na wife wako! Hivi kweli mtu na akili yako timamu unagombana na mkeo alafu unaamua kwenda kuvinjari na kimada au marafiki zako tu nyumbani huachi kitu inamaana hata watoto huwakumbuki?? Kwa nini uwatese kwa maugomvi yako we na mkeo? Kama kisingizio ni kwamba mkeo anakutegea we ugharamie kila kitu, kwani ukienda huko kwa kimada hugharamii? What if na mkeo nae ataamua kutafuta kidumu ili apooze machungu yake, utafurahi? Watoto wenu mtakuwa mmewaweka kwenye situation ipi? Acheni hizo bana, be responsible!
ngoja watoto walale,tuzime taa, hilo kitu haliingi mdomoni kwangu,usinyonye maziwa yataanguka, na bado hujamaliza tu ? huku nje -baby unataka staili gani leo,honey ngoja niilambe kwanza,shika finya popote,hamna kuzima taa,unavuliwa nguo na baadae kuvalishwa,yaani nilikumisi we acha tu utarudi lini sweety au lala tu wajameni nami nikumbatie kifua chako. Haya kazi kwako Mamaa Kigogo.wanaume tumeumbwa mateso,ukiwa kazini kelele ukirudi nyumbani nako kelele nyingi ndio
manake tunaamua kujirusha na vingasti ambao wanajua nn maana ya kuhandle.
wanawake mnajisahau sana mkishaolewa, ......mume akitaka tundi hadi aombe na kupewa kwa masharti