nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Wewe unaushauri mbaya sana. Unaonekana mwanamke gaidi kwanza. Yaani hata jina lako limekaa kishari shari tu. Mungu niepushe na mke kama huyu. Au hujui? Ndani ya ndoa kunatakiwa kuwe na uvumilivu. Mwambie avumilie na amuombe mungu atamsaidia.
Magaidi ndo tunawafaa wanaume kama nyie!
no coment ..................... cause I'm under 18!!!!!!!!!!!!
Angemjibu kesho nitakuandikia list ya wanaume ambao they can't wait to bang me, and they promise better performance. But I aint leaving yet hadi niwahakiki na kuwakagua!
Nyau!
Angemjibu kesho nitakuandikia list ya wanaume ambao they can't wait to bang me, and they promise better performance. But I aint leaving yet hadi niwahakiki na kuwakagua!
Nyau!
honestly sijaelewa kitu hapa
nani kasema nini?
duh.....I think there is a bit of a problem here
mimi ni kwamba sijaelewa kitu kabisa kwenye hii thread, yet nimeona watu wanachangia kwa 'ufundi' kabisa
duh hakika tumetofautiana
good luck
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????
great 2012 our prime purpose in this world is to help others and if you cant help al least dont hurt them.kabla hajasepa zake mwambie amuulize huyo men wake kuwa ni kwanini amemuacha na anampenda zaidi X-GF, i think huyo rafiki yako atakuwa anaudhaifu ambao jamaa ameshindwa kumvumilia, mhoji rafiki yako akwambie ukweli juu ya mahusiano yako, tunaweza kuwa tunamhukumu jamaa kumbe mwanamke ndio mwenye matatizo
"its hard to tolerate someones mistakes even if ur madly in luv"