Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Wanawake kinachowaponza sometimes ni huruma kubwa waliyopewa na Mungu.
Mwanaume akizuga kujiliza tu baasi kadada ka watu kanapanua miguu
😀😀
duuh... kumbe kuna wanaolia!

wacha leo nijilize nione... sasa unaliaje yaani mwanamme?
 
Fungua id nyingine jisifieeeee kama jinga moja hivi.

Ukitoka hapo fungua id nyingine jitongoze na declare unaipenda id yako inayojulikana na wengi kama jinga moja hivi.

Kisha jifanye unajua kila kitu umeishi na viongozi wengi kama jinga moja hivi.

La mwisho usisahau kutembea na ilani popote ulipo kama jinga moja hivi.
 
twende taratibu Castr unaongea na slow leaner.

moja ya kike nyingine ya kiume?

sasa Paw si ataziunganisha na hii?
 
Kama Mwanamke unamtongoza Saa 3 na dakika 7 asubuhi kisha Saa 4 na dakika 15 asubuhi hiyo hiyo anakuambia yupo ' Daladalani ' anakuja na Saa 5 na dakika 3 asubuhi hiyo hiyo ' Mbunye ' yake unakuwa nayo Kitandani mwako ' Ghetoni ' ukitiririka na kuserereka nayo, huyo ukumuita Maharage ya Mbeya utakuwa na ' dhambi ' iliyotukuka kwa Maulana?
Huyo atakuwa ni mama huruma boss
 
Back
Top Bottom