Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Sometimes don't hunts what you can't kill. Mimi nilikua natongoza wanawake ambao si level zangu kati ya 20 naweza pata mmoja but once nilianza hawa level zangu sioni shida tena.
Mkuu mwanamke hana level,house boy anatomba meneja wa bank[emoji23] [emoji23]
 
Try local mkuu ila isiwe local sana, angalia level yako
nitazingatia ushauri mkuu... inaonekana nipo ligi ya lipuli halafu nataka nicheze laliga.
 
Mkuu, dawa ishatajwa?
Kuna mmoja huku namtamani sanaaaaa
 
wakuu kwema....

Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!

tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?

Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.

tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
@kasie
 
Back
Top Bottom