Mkuu mwanamke hana level,house boy anatomba meneja wa bank[emoji23] [emoji23]Sometimes don't hunts what you can't kill. Mimi nilikua natongoza wanawake ambao si level zangu kati ya 20 naweza pata mmoja but once nilianza hawa level zangu sioni shida tena.
Unamtaka gigy money huna hata gari what do u expectkwa hiyo nacheza ligi isiyo yangu eewh
Haya ni mazali inatokea mara chache sana.Mkuu mwanamke hana level,house boy anatomba meneja wa bank[emoji23] [emoji23]
Baby upoNimeshangaa. Ila kasema katania
Try local mkuu ila isiwe local sana, angalia level yakoduuh... umeamua kunichana sio... nilijua watanionea huruma mkuu.
Nipo baeBaby upo
naomba namba ya tigoPesa yako kuna kafungu hapa tugawaneNipo bae
hukati tamaa tu?
Pole Dada yanguhihihiiiii yaani nimecheka
Kwahiyo waache dhareusijapata jibu hadi leo
@kasiewakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.