Ha ha haaTatuzo Vijana wa siku hizi mnaongea na wanawake kama mnarap, pole
sisi wanyonge hao ndiyo tunawataka mkuu.
pole kaka ufanyege uoe sasa[emoji41] [emoji51]usicheke... tunapitia magumu ukhuty.
hahaha hamna bana ila kweli lkn naogopa kusemaKicheko hiki kinakaujumbe ka siri.
Nimejikuta naikumbuka hii thread.Hakuna raha utamu kama Kula nyama uliyoihangaikia kwa muda mrefu Mkuu.
na pia halina ukubwa wa hivyo ni kujipanga tushukrani kwa ushauri dada.... kuoa si suala dogo dada.
Nimejikuta naikumbuka hii thread.
Genta habari?
twende taratibu Castr unaongea na slow leaner.Fungua id nyingine jisifieeeee kama jinga moja hivi.
Ukitoka hapo fungua id nyingine jitongoze na declare unaipenda id yako inayojulikana na wengi kama jinga moja hivi.
Kisha jifanye unajua kila kitu umeishi na viongozi wengi kama jinga moja hivi.
La mwisho usisahau kutembea na ilani popote ulipo kama jinga moja hivi.
Basi Watufundishe Jinsi Ya Kutongoza Kwa Mtindo Wa R & B :lolngoja tusubiri japo kwa wivu wao sijui kama watataja.
kuna jamaa hapo juu kashasema tunapotongoza tunarap rap
Huyo atakuwa ni mama huruma bossKama Mwanamke unamtongoza Saa 3 na dakika 7 asubuhi kisha Saa 4 na dakika 15 asubuhi hiyo hiyo anakuambia yupo ' Daladalani ' anakuja na Saa 5 na dakika 3 asubuhi hiyo hiyo ' Mbunye ' yake unakuwa nayo Kitandani mwako ' Ghetoni ' ukitiririka na kuserereka nayo, huyo ukumuita Maharage ya Mbeya utakuwa na ' dhambi ' iliyotukuka kwa Maulana?