Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Sio Inna.

Mtoto mmoja nilimuanza kama utani tu. Kumbe bikra.

Mwingine aliniuzia jiko la gesi , nilikuwa namnunulia kimada . mwisho wa siku akatoa na papuchi.

Usiende pm kwa ajili ya kutongoza.
Unaenda kwa mengine.
Au jifsnye unatoa ushauri
Hahaahahahaaaaaa..
 
Niamini mimi hao wanajitapaga huku wanatukula utakuta hajawahi kumiliki hata namba ya simu ya mdada yeyote wa JF wanajishauaga tu
Mambo beb.

Hivi tutatoleana macho hadi lini?

Sema mambo ya tanga ukionja lazima uonje tena na tena.

Ndugu yangu daby alikamatwaga na mtoto wa kitanga majani mapana.
Kila week end anapeleka mihogo ya kukaanga
 
Ila watoto wa Tanga wanajua mapenzi bwana.

kipindi hicho nilikuwa natembezwa majani mapana hadi mikanjuni kwa miguu kwenda na kurudi.

sauti zao tu... unajikuta umesahau Agricu ya mshana.
 
twende taratibu Castr unaongea na slow leaner.

moja ya kike nyingine ya kiume?

sasa Paw si ataziunganisha na hii?
Mkuu smartphone zipo hadi za elfu 30 unanunua hata 3 ili ukamilishe azma yako.

Au kama una mashine na kuna sehemu kuna wifi id nyingine inakua ya kwenye mashine nyingine inakua kwa ajili ya simu.

Sijui hata gilesi alishindwaje kujiongeza.
 
Ila watoto wa Tanga wanajua mapenzi bwana.

kipindi hicho nilikuwa natembezwa majani mapana hadi mikanjuni kwa miguu kwenda na kurudi.

sauti zao tu... unajikuta umesahau Agricu ya mshana.
Ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…