Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hahahaaa. Nahisi siku nikidate humu hata uzi sitafungua nimtaje maana kuna watu wakiona tu mwanaume fulani yuko na fulani watataka kujua kuna nini behind mpaka awe huyo mwanaume. Nitakaa kimya na kuita wengine bby kama kawaida ila bby wa ukweli ntamficha kama navyoficha vingine.wewe unasema changamsha genge ila amini asilimia 90 za uzi na wanaoitana bae,honey wanakulana wale wahuni ndo wanadai kuwa oo mahusiano yetu yasiharibu ushirika wetu jf,asilimia 90 ya wanaoandika na kuitana wapenzi humu wanakulana,mie nlikuwa namtania mmoja kuwa nitampindua wee demu akanjia pm,toka hapo nikasema naheshimu wanaoitana darling whatever we unasema utani kumbe wanakulana halafu unasababisha mtu apate ugonjwa wa moyo anajenga chuki,