Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hahahaaa. Nahisi siku nikidate humu hata uzi sitafungua nimtaje maana kuna watu wakiona tu mwanaume fulani yuko na fulani watataka kujua kuna nini behind mpaka awe huyo mwanaume. Nitakaa kimya na kuita wengine bby kama kawaida ila bby wa ukweli ntamficha kama navyoficha vingine.
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
 
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Kwahiyo unataka upewe mbinu ili ufanikiwe kufanya ZINAA?? Mkuu Daby ikimbie ZINAA, kila dhambi afanyayo Mwanadamu ni nje ya mwili wake, lakini yeye afanyaye zinaa anatenda dhambi ndani ya mwili wake. Mwili wako ni "hekalu" la Roho wa MUNGU, kila aliharibuye "hekalu" hili na yeye ataharibiwa pia.

Mwenye masikio na asikie!
 
wewe unasema changamsha genge ila amini asilimia 90 za uzi na wanaoitana bae,honey wanakulana wale wahuni ndo wanadai kuwa oo mahusiano yetu yasiharibu ushirika wetu jf,asilimia 90 ya wanaoandika na kuitana wapenzi humu wanakulana,mie nlikuwa namtania mmoja kuwa nitampindua wee demu akanjia pm,toka hapo nikasema naheshimu wanaoitana darling whatever we unasema utani kumbe wanakulana halafu unasababisha mtu apate ugonjwa wa moyo anajenga chuki,
Pamoja kabisa...nilijua yananitokeaga Mimi tu....[emoji5][emoji5]
 
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuone
 
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
unakula kimya kimya sio!
 
Back
Top Bottom