Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Uzoefu unakuja ukiutafuta,[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa atafute tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu unakuja ukiutafuta,[emoji23][emoji23][emoji23]
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,Hahahaaa. Nahisi siku nikidate humu hata uzi sitafungua nimtaje maana kuna watu wakiona tu mwanaume fulani yuko na fulani watataka kujua kuna nini behind mpaka awe huyo mwanaume. Nitakaa kimya na kuita wengine bby kama kawaida ila bby wa ukweli ntamficha kama navyoficha vingine.
Hahaha hapana...kwan mim nimekuqoute wap bae 1 ??Ni wewe nini??
[emoji23] [emoji23] waunganishe watajuana wenyewe huko mbele kwa mbelehamna kitu mpendwa wangu utaongeza mileage bure bila msingi wowote
Au kuna memba unamfatilia humu halafu Ile anazingua hahahaha kaza mwendohayo huwa hayaliwi kimya kimya yatajulikana tu.
Kwahiyo unataka upewe mbinu ili ufanikiwe kufanya ZINAA?? Mkuu Daby ikimbie ZINAA, kila dhambi afanyayo Mwanadamu ni nje ya mwili wake, lakini yeye afanyaye zinaa anatenda dhambi ndani ya mwili wake. Mwili wako ni "hekalu" la Roho wa MUNGU, kila aliharibuye "hekalu" hili na yeye ataharibiwa pia.tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Pamoja kabisa...nilijua yananitokeaga Mimi tu....[emoji5][emoji5]wewe unasema changamsha genge ila amini asilimia 90 za uzi na wanaoitana bae,honey wanakulana wale wahuni ndo wanadai kuwa oo mahusiano yetu yasiharibu ushirika wetu jf,asilimia 90 ya wanaoandika na kuitana wapenzi humu wanakulana,mie nlikuwa namtania mmoja kuwa nitampindua wee demu akanjia pm,toka hapo nikasema naheshimu wanaoitana darling whatever we unasema utani kumbe wanakulana halafu unasababisha mtu apate ugonjwa wa moyo anajenga chuki,
Brother brotherhivi mdogo wangu wa Tanga umempeleka wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuonemimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
Mwendo wa kobe au sio