hivi wanaume ndivyo walivyo??

Yani kuna wanaume wengine kazi yao daily ni kuharibu reputation ya other good men!
Usitake kujitetea, wanaume ndivyo mlivyo. Kuna posti moja humu JF tulihakikishiwa na wanaume wenyewe kwamba 99.9% ya wanaume wanacheat!
 


"Washauri wameniambia eti wanaume wote ndivyo walivyo."

Ukisha shauriwa hivyo ujue huna mume hawana cha kusema. Nenda kamchungulie huko aliko hata kwa kufikia guest labda keshaoa au kesha athirika hataki kukuambukiza dada.
 
Bora uamini hivyo kujiepushia stress
Usitake kujitetea, wanaume ndivyo mlivyo. Kuna posti moja humu JF tulihakikishiwa na wanaume wenyewe kwamba 99.9% ya wanaume wanacheat!
 
Bwana eeeh we kama Mumeo peas haleti alafu mwakitombile, unajinyanyasa bureeeeee! Kuwa realistic umekaa nae miaka mingapi bila amani wala furaha? Sikushauri umuache ila nenda ofisini kalianzishe na ustawi wa jamii UBLOCK robotatu ya mshahara angalau MJIPOOZE na wanao na hizo stress! Afterall keshakufanyia mabaya yote so hakuna jipya atalofanya litakutisha!!!!!!!1

Wanaume wote ndio walivo ila wanawake tunatofautiana upeo wa grab them by the balls! Hapo ukimuachia utalipa ada zote mwenyewe, ukimaliza wakipata tu kazi wa kwanza kukinga kono lake!!!!!!!!

Ushauri wangu huwezi kumzuia mtu mzima kucheat ila Grab Him By the Balls so tightly atimize majukumu yake kama baba . hapo anagoma coz anajua huwezi kumfanya lolote, sasa wewe mwambie mara ya mwisho na umwambie akigoma unatinga Ustawi wa Jamii, na utinge kweli kweli, Robo tatu ya kimshahara hiko si haba atiii!

Times are changing sheria zina kulinda ukiendekeza upendo wa mshumaa kumulikia wenzio huku unajimaliza shaurilo!!!!!!!!

Amani ya bwana iwe nawe!
 
Pole sana dada! Kweli mambo kama hayo yapo sana katika jamii, ila nimeona mara nyingi Yesu pekee akifanyika msaada kwa wale wanaomkimbilia na kutaka msaada kwake! Kweli mimi mwenyewe nimekuwa mhubiri wa Injili ya Yesu na nimekutana na wanawake wengi waliotelekezwa na wanaume zao na wanaume kuchukuliwa na makahaba....na wakati mwingine makahaba hutumia uchawi...na huwezi kuushinda uchawi bila jina la Yesu......Kama utahitaji ushauri zaidi wa kiroho tuwasiliane
 
Usitake kujitetea, wanaume ndivyo mlivyo. Kuna posti moja humu JF tulihakikishiwa na wanaume wenyewe kwamba 99.9% ya wanaume wanacheat!

Sijitetei hata kidogo, any real man out there knows you must take care of your family, thats the priority mambo mengine baadaye!
 
Wanaume wote SIO walivyo huyo ni MUME wako ndivyo alivo...7anasema ndoa ni UVUMILIVU ila pima ni nini UNAVUMILIA hapo hauna mume tena aisee mwishowe atakuletea magonjwa basiiii...9ha muhimu kama una uwezo wa kutafuta pesa kazana kwa ajili ya watoto wako...yAan huyo asikusumbue kichwa from now anza kuona hauna MUME,asikuumize kichwa aisee..
 
Usitake kujitetea, wanaume ndivyo mlivyo. Kuna posti moja humu JF tulihakikishiwa na wanaume wenyewe kwamba 99.9% ya wanaume wanacheat!

Hapana Binti si wanaume wote ndo walivo....hii si kweli ila wengi wao ndo walivo wanawahatibia wachache wenye sifa njema..
 
well said ,napenda kweli wanawake wanaojitambua kwasababu siku zote watoto wao wanakuwa kwenye mikono salama.

alisongeshe tu kwakweli ,ila ahakikishe anafanya maisha ya huyo jamaa living hell kwa kumbana ahudumie watoto.

hivi sheria siku hizi inasema robo tatu ya mshahara?

USHARI WA BURE KWA WADADA.
Ukiona mwanaume kabla hata hajaoa amezaazaa ovyoovyo mara nyingi huyo ni mjinga gubegube, piga chini.
mbona wapo wengi ambao hawajazaa ovyo ovyo ila wameua sana na ni magubegube wa kutupwa mjini mkuu
 
kwanza nikupe pole kwa yote hayo dada'ngu pili nikwambie sio wanaume wote wako hivyo! Angalia taratibu za ndoa za kutatua tatizo lako ikiwa kwa wadhamini na viongozi wa dini! ikishindikana zaidi uchukue hatua za juu
 

Big up sana lara. I wish ningekua na ujasiri wa aina hii nisingenyanyasika kwa muda wote huo. Nyumba ninayoishi ni ya kwetu I mean ya ndugu wa upande wangu. Nina haki nayo zote kama yangu lakini nashindwa kumpiga marufuku kukanyaga kwangu ingawa huko kwake mie marufuku kukunyaga.
 
Hapana Binti si wanaume wote ndo walivo....hii si kweli ila wengi wao ndo walivo wanawahatibia wachache wenye sifa njema..
Mmmmh! kwa hiyo wewe una sifa njema?? Hongera sana.
 
Am sorry to say this mmeo kapata nyumba ndogo inamdhibiti
 
Pole sana. Kaa uzungumze naye.
watakaa wapi ili hali jamaa hataki hata kutembelewa!!atumie wazee!!au la alazimishe kuenda huko maana ni kwake pia!ila aende amejiandaa na hela ya guest kabisa!
 
dada hapo ita wakubwa wa familia tu mzungumze ukilenga malezi na matumizi kwa watoto, asipobadilika mahakamani akaandikiwe utaratibu wa kila mwezi mshahara wake uje kwako direct, ye achana nae kwa muda lea wanao akijirudi mkapime kwanza
 
....we bidada huko uliko wewe hujawahi gawa..??
 
dada hapo ita wakubwa wa familia tu mzungumze ukilenga malezi na matumizi kwa watoto, asipobadilika mahakamani akaandikiwe utaratibu wa kila mwezi mshahara wake uje kwako direct, ye achana nae kwa muda lea wanao akijirudi mkapime kwanza

Asante sana mkuu. Ushauri mzuri. Nitaufanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…