hivi wanaume ndivyo walivyo??

sali kwa imani yako kuomba huruma na baraka za muuumba wako...lea wanao kwa maadili mema...there is one day atavunjika mguu na atarudi zizini bila haya utampokea (Ng'ombe avunjikapo guu hurudi zizini akichechemea)
 

Kwanza pole kwa yote hayo................halfu pili, hapo penye rangi nyekundu hapo, huyo mtu aliokwambia hayo maneno hayo muepuke kabisa.....sio mshauri mzuri hata kidogo na alaaniwe.............mimi kama mwanaume siafikiani hilo hatakidogo.
 
Usitake kujitetea, wanaume ndivyo mlivyo. Kuna posti moja humu JF tulihakikishiwa na wanaume wenyewe kwamba 99.9% ya wanaume wanacheat!
Hata kama wana cheat lakini wana cheat responsibly. Bila mke kuumia wala kugundua. Bila watoto kuteseka. Siyo wanaume wote, huyo ni mwanaume malaya.
 
Kwanza pole kwa mkasa huo but naomba nikikumbushe kwamba Si wanaume wote wako hivyo alivyo huyo. Wanaume wengine ni wastaarabu tatizo linakuwa kwa baadhi ya wake zao.
 
Pole sana dada kwa yalio kukuta kabla hujachukua uamuzi wowote jiulize unampenda bado au la? Kisha jiulize utawaleaje watoto wako na ulikua unawatunza vipi kipindi chote ambacho hayupo? Then fikiria uzima wako kwani mwanaume unaempenda hata afanyeje akikuhitaji kimwili unaweza ukajikuta unakubali kitu ambacho ni hatari sana kwako kiafya kisha chukua hatua za kumuacha kama unamuacha mm ushauri wangu kwako muache inauma sana ila utasahau watu wanafiwa na waume zao wanasahautena wanaowapenda sembuse hiyo takataka tupa kule ni aibu kubwa kwako hasa watoto wako wakikua na kumuona baba yao alivyo mchafu kaambali nae watoto wakikuuliza waambie inshort mlishindwana tabia waambie aliondoka rabda hakurudi that's all kingine usijaribu kuwaruhusu watoto wakamuone baba yao peke yao wanawake sisi ni makatili mno wasije wakauliwa au kuharibiwa tabia bure
 

Asante dada. Nimekuelewa
 
Pray for him without ceasing. I do believe in prayers .....they really works beyond our imagination .... pole
 
Hapana dada ni kweli wanaume tunamapungufu flan lakini huyo wa kwako kazidi. Hebu fanya hiima anza kumuombea ikiwezekana washirikishe hata watumishi wa Mungu naamini atapona. Pole!
 
Pole sana
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…