Hivi, wanaume wa humu mkoje?

JF ukiomba ushauri Kati ya comments 100 utapata mbili za maana kweli,hizo 98 zipuuzie!!!
Daaaah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nikaribishe mimi huko PM nije nikupe mbinu mpya,
Ili hilo tatizo lako lisijirudie tena,
Nakuahidi hutajutia.
 
Wanaokuja huko PM wala usiwatukane, wapokee vizuri kwa bashasha; kisha mwambie hivi, ''bebiii naomba uninunulie kiwanja cha kujenga nyumba yangu pale Arusha chenye ukubwa wa mita za mraba 2000''

Ukumbuke kutuletea mrejesho.​
 
Na sisi tukiamua mambo ya wanawake JF si kitanuka hapa? Itakuwa kama Bibi vs Ayatollah. Khamemei
 
Wanaokuja huko PM wala usiwatukane, wapokee vizuri kwa bashasha; kisha mwambie hivi, ''bebiii naomba uninunulie kiwanja cha kujenga nyumba yangu pale Arusha chenye ukubwa wa mita za mraba 2000''

Ukumbuke kutuletea mrejesho.​
Hapa duniani tunapita .Utajengaje nyumba barabarani?
 
Kuna baadhi ya members siyo wastaarabu anakukutumia na meseji huko PM akiona hujibu anakutukana kabisa, guys badilikeni hakuna mwanamke atayempenda mwanaume asiye mstaarabu.
Moja ya sababu ilinifanya nifunge PM, kuna watu wa hovyo sana na wako so entitled ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Najua wanaume wastaarabu wapo wengi tu humu,...
WENGI???
Ila hawa baadhi wanawaharibia sifa haswa haswa hawa wanaoenda kukutana na members wa kike na wanakuja kujigamba huku jukwaani, binafsi siwezi kuwa na mtu humu kwanza hamko serious it seems kila mwanamke mnamfata huko PM.
Usikutane na mtu from JF, nafikiri ni kujitafutia matatizo tu.
Muwe na mchana mwema๐Ÿ˜
๐Ÿ’•๐Ÿ’•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ