Hivi, wanaume wa humu mkoje?

Nadhani itakuwa si jambo jema ila nimefunga PM na kuwa ignore waliyonitukana
Ujue me huwa siwaelew watu wanaopenda kulazimisha vitu ambayo havifai kulazimisha...ndio mana me sometime huwa nakuwa mgumu sana kubembeleza mtu. I am not going to loose my energy for some things that are next to impossible...anyways watakuwa watoto hao wanajifunza kutongoza. Ukiwa kuna balehe unataka kila mtu umtongoze, kila mwanamke awe wako yan nyege zinakuwa zinakuendesha vibaya. Ukikuwa unakuja kujua sio lazima kuwa na kila anaekatiza mbele yako wengine waache wapite waende, huwezi kulomba Tanzania nzima na vitongoji vyake, relationships nyingi zinapoteza hela na mudaaa
 
Asante
 
Duuuh yaan unanisema bila aibu we mdada.

Oky all in all sio mimi naekutongoza ila ni Moyo baada ya kushindwa kuzuia hisia zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅
Dah! 🀣🀣🀣 mkuu
 
"Tunaopenda kula tunda kimasihara, hatimae tumefikiwa'

Alisikika baharia mmoja akisema vile
 
Anza na marekebisho ya title yako, isomeke "baadhi ya wanaume WA humu JF..."
Ukiiacha ilivyo then ukajitetea ndani ndani huko bado haikai vizuri!
Naacha hivyo watakaoelewa wataelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…