Hivi, wanaume wa humu mkoje?

Wanaume wanakula kilichopo siyo kinachotafutwa. ukiona hivvyo wewe unapatikana kwa urahisi
utaliwa na ushauri hutapata
 
---
 
Yaani kuniomba jero nikasema sitoagi pesa zangu siku ya kwanza tu ya mahusiano ndiyo uje kunitangaza huku.

Hujui tu, hela yangu ni ngumu sana kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…