Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
Habar za majukumu ndug zangu,

Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.

Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba

Halafu asilimia 98% ya maneno hayana ukweli
Lengo n nn hasa

NIpeni mawazo yenu jamn maana uyu rafiki yangu,jamaa yang nmemchoka Kwa tabia yake ya kunikatisha tamaa Kwa Binti ninae mpenda yeye anatoa negative fixture ambazo sio hata za uhakika

Je? uliwah kukutana na swala kama ili na ulichukua hatua gani
 
Endelea na huyo binti hadi ujue ni za uhakika au la!
 
Tabia mbaya sana hiyo,

Ila sitaki kuhukumu kwasababu nasikia wanawake hufanya hivyo pia.

Huyo mwanamke wewe mzingatie tu mpaka hayo mapungufu uyaone mwenyewe.
 
Minaona tatizo lilianza mlipoanza kupaka poda, baada ya wazazi wenu kuanza kutumia vidonge na sindano za uzazi...☹️
Hahaha 😀😀 kuwa seriously mkuu kweny ili
 
Umri wako ? Hii habari inafaa kupelekwa/kuchapishwa Facebook!
Na hata hapa inawezekan tuuh lengo la forum hii ni kujenga kupeana mawazo kupata uelewa.
Ila kama umenipata kimamaarifa usingekuwa huku
 
Back
Top Bottom