Hivi Wanaume wenzangu wa Dar mbona mnapenda kujazana KFC

Unakuta wanaume wamejazana wanakula vichips na vikuku vya KFC, hivi huwa mnashiba kweli? Au huwa mnaenda kuuza sura kwa ajili ya kupata picha za Instagram?
Mkuu kama una hela yako kfc utashiba tu,ukiona m2 anaandika utumbo utajua aidha hajawahi kwenda au kasimuliwa tu juujuu.
 
Kwahiyo Analojia wa Mkoa huwa unabanisha hapo KFC ili kushangaa shangaa sio?! Lakini unafahamu kirefu cha KFC?! Anyway, hapo panaitwa Kinondoni Football Club; kwahiyo ukirudi mkoani kawasimulie kwamba ulipita kwenye tawi la Kinondoni Football Club, jamaa wana bonge la biashara ya vyuku amazing!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…