Kamatia chini wapi wewe.Kamatia chini kamatia chini
Go low go low go low
Go down Hata mara moja jiweke down....
Kwa hizi nyimbo naachaje kubambia hapo nyuma kwa Frog?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mi nasema..ladies endeleeni kutikisa msambwanda na kukata nyonga...hivyo ndio napendaga
DuhHayo ndo na nyie mnapenda kuangalia tunatingisha hayo hayo yenye followers.
mkuu umetisha mambo ya go low {ashikwa sehemu mbayaaaaa}Kamatia chini kamatia chini
Go low go low go low
Go down Hata mara moja jiweke down....
Kwa hizi nyimbo naachaje kubambia hapo nyuma kwa Frog?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mi nasema..ladies endeleeni kutikisa msambwanda na kukata nyonga...hivyo ndio napendaga
Hahahaaaasasa mbona mama yako na dada zako na shangaz zako uko nao kwanini usianzie huko kama primary data.
Ukiona wanayatikisa wewe ondoka tuache sisi tunaopenda yakitikisika tuyaangalie.Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?
Mnafanya hivyo ili iweje sasa?
Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?
Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu
Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
We ukibambiwa unajiskiaje?Style ya kuchezaee watu wapo kzini oohoooo we utabaki kuwaza style kwanza ulikuwa wapi na ww mpk ukwaona maaan nishaanza kukustukia
Hivi albam yenye wimbo huo inaitwaje? kuna wimbo mmoja koffi akiwa na mtoto mkali sana ndani.Kwa tunes kama hizi lazima kutingisha makalio, by the way hata nyie wanaume cheza yenu inakuwaga hivo hivo. Mpaka hapo tutakapo badili tune labda na kwenda ki hip hop.