Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kamatia chini wapi wewe.Kamatia chini kamatia chini
Go low go low go low
Go down Hata mara moja jiweke down....
Kwa hizi nyimbo naachaje kubambia hapo nyuma kwa Frog?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mi nasema..ladies endeleeni kutikisa msambwanda na kukata nyonga...hivyo ndio napendaga
taarabu laiiiiini au mziki wa bendi. Kamatia chini nguvu nyingi zinatumika.